Chunga sana mtu asilie kwa ajili yako

Chunga sana mtu asilie kwa ajili yako

hzo ni fix tu, zinaimbwa tangu enzi enzi tokea babu wa babu yangu anaimbiwa hzo ngonjera. inasktisha sana binadamu wenye maslahi binafsi(kumnufaisha aliyeleta matrix) wanaendelea kupromote narrative kongwe kwny dunia ilibadilika kwny kila sector. wanadamu tujitambue.
Watu weusi bila hizo fix hamuwezi kuji tune acha ziendelee kutufix tu hakuna namna!
 
Sio mapenzi, sio pesa sio Nini, jitahidi sana chozi la mtu lisidondoke wewe ukiwa chanzo.

Una umiza hisia za mtu au watu, unajitapa we bingwa wa kuumiza watu kwenye mapenzi, una dhutumu una ibia watu una ua watu wanao tegemewa na familia zao, kisa pesa au kisa uonekane mzuri sana.

Una kutana na Mzee, anateseka sana unajiuliza huyu ujana wake alitumiaje, huyu mshikaji vipi, huyu ye kulia kila siku, shida haziishi, unakutana na mwanamke ye ni kuhangaika hasaidiki, madeni yeye, maradhi yeye unajiuliza shida Nini, baba, mama Kuna machozi ya watu huko nyuma, huwezi solve, tulia.

WHAT GOES AROUND, COMES AROUND.
Duniani hapa hatujaja kuoneana huruma. Ukipata nafasi ambayo itakuwezesha kufanikiwa kwa maumivu ya wengine itumie muhimu usiue. Ila hisia tu wengine wanalia na vitu vidogo mno hata si vya kuzingatia ila wao wanaona big deal.
 
2E969045-4C15-476F-98FB-4CD521DABFBB.jpeg
 
Sio mapenzi, sio pesa sio Nini, jitahidi sana chozi la mtu lisidondoke wewe ukiwa chanzo.

Una umiza hisia za mtu au watu, unajitapa we bingwa wa kuumiza watu kwenye mapenzi, una dhutumu una ibia watu una ua watu wanao tegemewa na familia zao, kisa pesa au kisa uonekane mzuri sana.

Una kutana na Mzee, anateseka sana unajiuliza huyu ujana wake alitumiaje, huyu mshikaji vipi, huyu ye kulia kila siku, shida haziishi, unakutana na mwanamke ye ni kuhangaika hasaidiki, madeni yeye, maradhi yeye unajiuliza shida Nini, baba, mama Kuna machozi ya watu huko nyuma, huwezi solve, tulia.

WHAT GOES AROUND, COMES AROUND.
Wewe, hayo ni maneno tu mbona samia kawaliza watu kibao na yupo ana dunda, sasa hivi yupo urus ana kula Bata tu.
 
Hii nadharia sio sahihi

Kuna watu na kuna mazingira ambayo huwezi kuwazuia watu kulia, na kama utaifuata nadharia hii unaweza kuwa kichaa. Maana kuna watu watalia kwasbabu zilizo nje ya uwezo wako.

Mfano, unasafiri nje ya nchi kutafuta maisha, na mpenzi wako anasema ‘usiniache, mimi na wewe hadi tuzikane’ wakati unajua kabisa kwamba mazingira hayaruhusu, yeye anaangua kilio - Utafanyaje? Utazuiaje kilio chake?!

Jirani yako anakufuata anakuomba msaada, anadaiwa kodi ya nyumba lakini pia ndugu yake amelazwa hospitali anatakiwa kufanyiwa upasuaji kwani alipata ajali ya boda boda, anaomba msaada umuwezeshe alipe kodi na alipie matibabu ya mgonjwa wake, unamwambia ‘bahati mbaya siko vizuri, sitaweza ku kusaidia’ analia na kulalamika kwamba ataenda wapi? Utamzuiaje asilie?

Au kila anayekufuata umsaidie utamsaidia? Utawasaidia wangap ili wasilie?!
 
Hamna lolote... Mbona tunalia mara kwa mara kuhusu viongozi waovu lakini ndio kwanza wanatusua huku sisi tukizidi kunyauka?

Kinachotakia ni wewe unaelia uchukue hatua za kuvitendo katika kuweka mambo sawa ili kilichokuliza kisikulize tena.

Bila hatua za kuvitendo waliokuliza watakuliza tena au kukuua kabisa 🤣🤣🤣
Usilete hasira mkuu, mambo mengine hayazungumziki hapa, unaijua karma mkuu, ua basi na wewe, sihamna kitu
 
Ila Maisha Bwn wajanja wametulia tulii wanaenjoy energy za ulimwengu huku wengne si 2mepewa limatrix la ovyo tupambane nalo. its like mama anampa toy mtoto achezee ye aendelee na shughuli nyngne kwa amani. kwa muktadha huo mtoa mada nakupinga. prosperity au suffering za m2 ni matokeo ya machaguo yake mwenywe. tusitishane its like unapromote hii matrix ya ovyo izidi kuota mizizi zaidi.
m2 anaweza kupga tukio m2 afu ananawa mikono anakuwa msaafi kbs asihisi hatia yyt( cc. 48 laws of power by robert green).
mitazamo yangu ni yagenZ sana. i am too skeptical kwny kila k2 tulichoaminisha.
Nyie ndo mnajifanya wasomi, unaa ambiwa huu ugonjwa hautibiwi hospitali, umekomaa tu malaria imepanda, tulia kijana hujakua bado
 
Wewe, hayo ni maneno tu mbona samia kawaliza watu kibao na yupo ana dunda, sasa hivi yupo urus ana kula Bata tu.
Hana amani ya nafasi, ndo mana nasema hujakua, alafu Samia hamjui kushiika bunduki, usilete siasa kwenye mambo real mkuu
 
Hii nadharia sio sahihi

Kuna watu na kuna mazingira ambayo huwezi kuwazuia watu kulia, na kama utaifuata nadharia hii unaweza kuwa kichaa. Maana kuna watu watalia kwasbabu zilizo nje ya uwezo wako.

Mfano, unasafiri nje ya nchi kutafuta maisha, na mpenzi wako anasema ‘usiniache, mimi na wewe hadi tuzikane’ wakati unajua kabisa kwamba mazingira hayaruhusu, yeye anaangua kilio - Utafanyaje? Utazuiaje kilio chake?!

Jirani yako anakufuata anakuomba msaada, anadaiwa kodi ya nyumba lakini pia ndugu yake amelazwa hospitali anatakiwa kufanyiwa upasuaji kwani alipata ajali ya boda boda, anaomba msaada umuwezeshe alipe kodi na alipie matibabu ya mgonjwa wake, unamwambia ‘bahati mbaya siko vizuri, sitaweza ku kusaidia’ analia na kulalamika kwamba ataenda wapi? Utamzuiaje asilie?

Au kila anayekufuata umsaidie utamsaidia? Utawasaidia wangap ili wasilie?!
We ni ngumu kuelewa yani mtu akuombe msaada umnyime aanze kulia, ndo karma inapo kuja hapo? hapo tunazungumzia kudhurumu haki ya mtu aka Lia machozi ,we unasema kumnyima mtu uko serious mkuu
 
Sio kila malipizi yanahusu uchumi wa mtu wapo matajiri hawana amani kwasababu waliwatesa watu fulani!
Kuna tajiri ana mali nyingi lakini kuingia kwenye gari Hadi abebwe akishuka abebwe, sa hayo ni maisha na si mlemavu, familia historia zao uta blow
 
Ila Maisha Bwn wajanja wametulia tulii wanaenjoy energy za ulimwengu huku wengne si 2mepewa limatrix la ovyo tupambane nalo. its like mama anampa toy mtoto achezee ye aendelee na shughuli nyngne kwa amani. kwa muktadha huo mtoa mada nakupinga. prosperity au suffering za m2 ni matokeo ya machaguo yake mwenywe. tusitishane its like unapromote hii matrix ya ovyo izidi kuota mizizi zaidi.
m2 anaweza kupga tukio m2 afu ananawa mikono anakuwa msaafi kbs asihisi hatia yyt( cc. 48 laws of power by robert green).
mitazamo yangu ni yagenZ sana. i am too skeptical kwny kila k2 tulichoaminisha.
So far ni mtazamo sahihi.
 
Sio mapenzi, sio pesa sio Nini, jitahidi sana chozi la mtu lisidondoke wewe ukiwa chanzo.

Una umiza hisia za mtu au watu, unajitapa we bingwa wa kuumiza watu kwenye mapenzi, una dhutumu una ibia watu una ua watu wanao tegemewa na familia zao, kisa pesa au kisa uonekane mzuri sana.

Una kutana na Mzee, anateseka sana unajiuliza huyu ujana wake alitumiaje, huyu mshikaji vipi, huyu ye kulia kila siku, shida haziishi, unakutana na mwanamke ye ni kuhangaika hasaidiki, madeni yeye, maradhi yeye unajiuliza shida Nini, baba, mama Kuna machozi ya watu huko nyuma, huwezi solve, tulia.

WHAT GOES AROUND, COMES AROUND.
Ukiwa na huruma sana huwezi kuwa tajiri.

Kuwa tajiri
Sio kulia tu hata kutengeneza mazingira ya huzuni na masononeko kwa mwingine sio vizuri

But dunia ni zigzag hakuna atakaejali namna unajisikia so wewe mwenyewe ukiona hupati amani hiyo sehemu escape ila usitegemee watu wazingatie hisia zako 💯
Samia na wenzake wangezingatia mawazo yako, leo asingekuwa Urusi kama Rais.

Dunia haina huruma.
 
Imani tu wala haizingatiwi ulimwengu wa sasa, kuna aliyeua kama British empire chini ya malkia na wabelgiji kule Congo chini ya King Leopord? Mbna wapo juu ya wabongo tunaoishi kiroho na maombi kila ntu? Lets be realistic brothers, hamna maisha ya kufikirika bila kuwa na rational decision making, tunafanya maombi 24hrs na uchawi juu na tunapigwa deile na wenye akili!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom