Chuki ya Mbowe na Dr. Slaa kwa Zitto yabainika!

Chuki ya Mbowe na Dr. Slaa kwa Zitto yabainika!

Status
Not open for further replies.
Dr tumewaona kwenye mabunge yetu wanavyowasaliti wananchi.
 
Kama ningekuwa Dr Mbowe ule waraka ningechukua na kuwafanya Dr wa ukweli kitila na Mwigamba kuwa washauri wangu wakuu na kuwapiga chini watu waaina ya Dr lema

Naona kila mtu Chadema ni Dr. Mbowe pamoja na kutaga bado anaitwa Dr. Naona hata Lema naye mwizi wa magari anaitwa Dr. Kuna mtu mwingine amesahaulika, Dr. Sugu, kitu darasa la saba.
 
Mbowe ndio kiongozi pekee wa chama mwenye historia ya kutaga. Hiyo iko kwenye record zote kwamba alishindwa mitihani pamoja na kufundishwa darasani. Hivi wewe kwa akili zako kama mtu kashindwa mitihani ataweza ongoza nchi? Labda akapewe u chief wa wachaga

maskini povu linakutoka bure,Kamanda mbowe ndiye aliyeifikisha CDM ilipo sasa.CDM hii inayowanyima usingizi magamba na kumchanganya kinana hadi anakuwa mwehu wa kutembea na viatu vya kulalia. Act ni mtoto wa ccm kwa mwendelezo uleule wa masalia
 
Huwa naheshimu sana viongozi ambao walipitia tanuru la kuwa viongozi wa DARUSO!!! Waone Akina Kitila, Benson Kigaila utaona why DARUSO is a best leadership un-official academy!
 
mkuu kumbe mbowe alitaga? da! hii nilikuwa sijui kabisa.

We nae!!!! kwani Mbowe kupiga mzinga form VI ni ajabu!! Mbona kawaida tu watoto wa mapedejeee kugonga "O". kwikwikwikwiiiiiiiiiii! Hiyo ndiyo "O" o, o, o, o, o, o iko kama yai "O" o, o!!!
 
Hapa hakuna jipya.....tumeshajadili mengi haya kwa mapana......mnatuchosha na hizi propaganda uchwara.......kwa vigezo ulivyovitaja hapo juu basi Zitto ni zaidi ya Nyerere (furahini basi kama shida ni sifa).
 
Naona kila mtu Chadema ni Dr. Mbowe pamoja na kutaga bado anaitwa Dr. Naona hata Lema naye mwizi wa magari anaitwa Dr. Kuna mtu mwingine amesahaulika, Dr. Sugu, kitu darasa la saba.

hao wotte unaowataja unawazidi nini wewe unayeshinda hapa jf kutetea wezi wa raslimali za taifa letu? Jitambue na acha kutumika kijinga!
 
zzk hafai cdm wala ccm

kama unampenda hamia ACT KWENYE CHAMA CHAKE
 
Hapa hakuna jipya.....tumeshajadili mengi haya kwa mapana......mnatuchosha na hizi propaganda uchwara.......kwa vigezo ulivyovitaja hapo juu basi Zitto ni zaidi ya Nyerere (furahini basi kama shida ni sifa).

KWELI KABISA HATA NYERERE hamkaribii
zitto ni zaidi ya OBAMA, ila kwenye demokrasia na mabadiliko zitto ni kirusi
 
Huwa naheshimu sana viongozi ambao walipitia tanuru la kuwa viongozi wa DARUSO!!! Waone Akina Kitila, Benson Kigaila utaona why DARUSO is a best leadership un-official academy!

Kutila anaiabisha DARUSO kwa kuongozwa na tumbo hadi kujikuta anasaliti mabadiliko kwa maslahi ya magamba
 
hao wotte unaowataja unawazidi nini wewe unayeshinda hapa jf kutetea wezi wa raslimali za taifa letu? Jitambue na acha kutumika kijinga!

Mi nimeelimika. Hao ni mbulula tu. Nje ya siasa za kilaghai, they are no body. Ndio maana siasa zao ni za mihemko. Ngoja tusubiri mwaka ujao ili ujue tofauti yangu na wao.
 
Huu ni upuuzi usio na kiwango cha kufananisha. Maneno ni mengi lakini no content.

Zito anakubalika kimataifa, anakubalika katika nini? Kupiga picha na viongozi wa nchi nyingine ndiyo kukubalika? Bush alipokuja hapa alipiga picha na wasichana wa kimasai, kwa hiyo kwa upeo wako mdogo, ndiyo tuseme wasichana wale wanakubalika kimataifa kuliko mtanzania yeyote au kiongozi ambaye hakupiga picha na Rais wa Marekani?

Kuhusu JKT, hivi Zito kushiriki mafunzo ya JK ya wiki mbili ni uzalendo kuwazidi watanzania zaidi ya milioni waliohitimu JK ya mwaka mmoja?

Zito hata kama akipata PhD, atakuwa mtanzania wa kwanza kuipata? Kama una haja sana na PhD, nyingine siku hizi unaweza kuzipata kwa nusu mwaka. PhD ya kweli, angalia mtu anafanya nini, siyo makaratasi anayoshikilia. Hivi PhD ya Kawambwa au uprofesa wa Maghembe unamtofautisha vipi na mawaziri wenzake? Wanachowazidi mawaziri wengine ni wao kutajwa kila mara kuwa ni mawaziri mizigo. Marais wanaoheshimika sana kwa kiwango kikubwa katika mataifa yao ni pamoja na George Washington na Mao. Niambie viongozi hawa walikuwa na elimu gani? Hakuna miongoni mwao ambaye alikuwa hata na diploma lakini ndiyo viongozi walioyabadilisha mataifa yao kwa kiwango cha pekee.

Zito tangu awe mbunge amefanikiwa kitu gani zaidi ya hadithi nyingi zisizo na tija? Alisimamia kule bungeni kuwa mkataba wa Buzwagi ulikuwa na harufu ya rushwa, je, mpaka leo kuna mtu aliwajibishwa au kufunguliwa kesi ya rushwa kuhusiana na mkataba wa Buzwagi? Alisema anawajua walioficha pesa Uswizi, je, amewataja wangapi, na hatua gani zimechukuliwa dhidi ya watu hao?

Zito ni bingwa wa maneno mwenye matendo zero. Ni kwa njia ya maneno aliwaokota wengi wakamwamini, ikiwa ni pamoja na CHADEMA na CCM. CHADEMA walidhani Zito humaanisha anachoongea kumbe ni mtu mnafiki asiye na dhamira ya kweli ya anachokiongea. Zito akawaaminisha CCM kuwa ana uwezo wa kuiua CHADEMA, sasa wametambua kuwa Zito hana uwezo huo.

Ninaamini kabisa kwa dhati ya moyo, chama chochote atakachohamia au yeye Zito akawa kiongozi mkuu, chama hicho hakiwezi kufanikiwa. Mafanikio hutegemea dhamira, kuaminiani, na kukubali kuwa binadamu wote, kila mmoja kuna kitu asichokijua. Zito ni mpenda madaraka, asiyeamini katika teamwork hutaka zaidi kujijenga yeye binafsi kuliko team, hutaka aonekane wakati wote kuwa anajua kuliko wengine, n.k. Tabia hizo, hata siku moja huwa haziwezi kuleta mabadiliko.
 
Muislamu na mtu asie mchaga Chadema hawez kupewa trust yyte mifano tunayo.

Wachaga waachiwe chama chao wafe nacho.
 
Kifo cha chadema kiwe funzo kwa wachaga.

Bora kimekufa chama hiki nguzo nyingine ya kanisa ndani ya nchi hii.

Kiacheni tu kife.
 
Mleta mada mwambie ZITTO kama ameona chama chake cha ACT hakiuziki aende kufundisha vyuoni,kwa nchi yetu TANZANIA sioni elimu za watu zimewasaidiaje watanzania wa kawaida.Kikubwa ninachokiona ni wasomi kuongozwa na kuendeshwa na wafanyabiashara.Rejea mfano wa mbunge ambaye ni Profesa kwenye bunge maalum la katiba badala ya kuchangia hoja za maana yeye akaishia kumwomba Rais Kikwete amteue kwenye ubunge wa kuteuliwa hapo utaniambia huyu Profesa ana msaada wowote tofauti na ubinafsi uliomjaa?ELIMU YA ZZK HATUNA SHIDA NAYO SIYE!
 
Nashangaa unasema Mbowe na Dr Slaa wote kwa pamoja wana chuki na ZZK,Lakini kwenye elimu na mambo mengine mengi unataja Mbowe VS Zitto,kwanini CV ya Dr Slaa inakupa kigugumizi kuiweka?Au unaona itakuumbua?Eti wanamuogopa ZZK kwa elimu!Really?Kama hoja ndiyo hii basi akina Prof Kahigi wangekuwa wameshafukuzwa siku nyingi.All in all ZZK ni zilipendwa,mnamfariji bure lakini hauziki tena,Kilichomuua ni kulewa sifa pamoja na ubinafsi wa kujiona yeye ndiye CHADEMA!Mashabiki uchwara walimponza,POLE SANA ZZK!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom