Chuki ya Mbowe na Dr. Slaa kwa Zitto yabainika!

Chuki ya Mbowe na Dr. Slaa kwa Zitto yabainika!

Status
Not open for further replies.
Thibitisheni elimu ya mbowe ndio mje hapa na matusi msitukane ovyo kama mmelewa viroba.
 
Wana Ukumbi,

Mpaka sasa wanachama wa CHADEMA na Watanzania wengine wenye mapenzi na chama hicho bado hawajawekwa wazi kuhusu kosa ambalo limemfukuzisha Zitto wadhifa wake ndani ya CHADEMA na majaribio kadhaa ya kumuondoa uanachama wake.

Zaidi zaidi wanachama wanasikia tetesi na vijihabari kuwa Zitto ni msaliti wa chama chake, lakini kimantiki hakuna hata chembe ya uthiitisho kuonyesha usaliti wake dhidi ya chake.

Kwa sababu hiyo ya kukosekana uthibitisho juu ya sababu za kutimuliwa kwa ZItto, ililazimu uchunguzi wa ziada ufanywe ili kubaini hasa chuki ya vigogo wa CHADEMA kwa ZItto inasababishwa na nini hasa?

Baada ya uchunguzi kukamilika, yafuatayo ndio yalibainika kuwasumbua sana viongozi wa CHADEMA na kufanya wakose amani pindi wamuonapo Zitto ndani ya chama chao:

ELIMU

Hapa sitaandika chochote zaidi ya kuambatanisha CV za wanasiasa wawili, yani Mbowe na Zitto. Kwa taarifa ni kwamba, Zitto ana tarajiwa kutunukiwa PhD yake hivi karibuni kwa kuwa tayari amekamilisha tafiti zake. Hongera Zitto. Kwa upande wa Mbowe, huyu aliishia kidato cha sita (6) ingawa HANA cheti cha kuhitimu, kwa maana alipata daraja sifuri (0).

SalutationHonourable
First Name: Kabwe
Middle Name:Zuberi
Last Name:Zitto
Constituent:Kigoma Kaskazini
Political Party:CHADEMA
Office Location:P.O.Box 325, Kigoma
Office Phone: +255 713 730 256
Ext.:
Office Fax: +255 22 2112538
Office E-mail: kzitto@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 24 September 1976

[TH="colspan: 3, align: left"] GENERAL [/TH]

[TD="align: center"] Member picture
1403.jpg
[/TD]

[TD="width: 20%"] Member Type: [/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
School Name/Location Course/Degree/Award
Bucerius Law School, Germany
University of Dar es Salaam
Inwent -IHK, Bonn, Federal Republic of Germany
Galanos Secondary School
Tosamaganga Secondary School
Kigoma Secondary School
Kibohehe Secondary School
Kigoma Primary School
Otto Beisheim School of Management, Germany

[TH="colspan: 5, align: left"] EDUCATION [/TH]

[TH="width: 15%, align: center"] Start Date [/TH]
[TH="width: 13%, align: center"] End Date [/TH]
[TH="width: 10%, align: center"] Level [/TH]

[TD="align: center"]MLB[/TD]
[TD="align: center"]2009[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]MASTERS DEGREE[/TD]

[TD="align: center"]BA (Economics )[/TD]
[TD="align: center"]1999[/TD]
[TD="align: center"]2003[/TD]
[TD="align: center"]GRADUATE[/TD]

[TD="align: center"]Advanced Training on International Marketing[/TD]
[TD="align: center"]2003[/TD]
[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]ADV DIPLOMA[/TD]

[TD="align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1996[/TD]
[TD="align: center"]1996[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]

[TD="align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1997[/TD]
[TD="align: center"]1998[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]

[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]

[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]1995[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]

[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1984[/TD]
[TD="align: center"]1990[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]

[TD="align: center"]PhD[/TD]
[TD="align: center"]2011[/TD]
[TD="align: center"]To Date[/TD]
[TD="align: center"]NOT COMPLETED[/TD]
Company Name
Ministry of Finance - PSU (NSA Support for Cotonou Agreement)Moderator
Ministry of Finance -Tanzania & Ministry of Trade & IndustriesEvent Manager
The Parliament of TanzaniaMember - Kigoma North
IHK - Bonn & TIC-Tanzania (Business Mission to SIAL Pans)Project Manager
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMADirector, Campaigns and Elections
Friedrich Ebert Foundation - FESProject Manager
Tanzania Gender Network (TGNP)Training & Research Internship
National Youth Forum (NYF)Programme Officer

[TH="colspan: 4, align: left"] EMPLOYMENT HISTORY [/TH]

[TH="align: center"] Position [/TH]
[TH="align: center"] From [/TH]
[TH="align: center"] To [/TH]

[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"]To Date[/TD]

[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"]To Date[/TD]

[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"]Todate[/TD]

[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]2004[/TD]

[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]Todate[/TD]

[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]2005[/TD]

[TD="align: center"]2002[/TD]
[TD="align: center"]2002[/TD]

[TD="align: center"]2000[/TD]
[TD="align: center"]2002[/TD]
CHADEMADeputy Secretary General
CHADEMASecretary Parliamentary Group
CHADEMADirector Foreign Office
DARUSOSecretary General
Tanzania Students Networking Programme (TSNP)Chief Executive Officer

[TH="colspan: 4, align: left"] POLITICAL EXPERIENCE [/TH]

[TH="class: text_menu"]Ministry/Political Party/Location[/TH]
[TH="class: text_menu, align: center"]Position[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]

[TD="align: center"]2007[/TD]
[TD="align: center"]To Date[/TD]

[TD="align: center"]2006[/TD]
[TD="align: center"]To Date[/TD]

[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]To Date[/TD]

[TD="align: center"]2002[/TD]
[TD="align: center"]2003[/TD]

[TD="align: center"]2001[/TD]
[TD="align: center"]2003[/TD]

KUKUBALIKA KITAIFA NA KIMATAIFA

Ni ukweli usiohitaji mjadala kuwa ZItto ana jina kubwa ndani na nje ya nchi linapokuja suala la siasa safi za kujenga hoja. Ingawa sipingi kuwa wapo wanasiasa wenye jina kama Lema, lakini tukiangalia kilichowapa jina sio kitu cha kujivunia kabisa. Kwa mfano wote tunajua kuwa Lema bila ya sakata la kuliwa "mtaro wa majitaka" asingepata jina kwenye siasa.

View attachment 163421Akiwa na rais Kikwete View attachment 163422Akiwa na balozi wa marekani nchini

UZALENDO USIO PIMIKA

Kwenye uzalendo na mapenzi mema ya nchi, Zitto hana wa kumtolea mfano. Kwa hali ya kawaida, mwanasiasa kama Zitto kukubali kuteseka na kuumia kwenye mafunzo ya "national service" sio jambo dogo. Ni mtu mwenye uzalendo tu ndiye atakubali kujumuika kwenye mafunzo yale. Tuliopita tunajua hali ya kule. Kama itakumbukwa, Mbowe, Nassari, Lema na wengineo waliogopa kabisa kushiriki.

View attachment 163420

Kwa ufupi tu ni kwamba, haya machache ndio yanawatia hofu na wasiwasi vigogo wa CHADEMA juu ya hatma yao endapo Zitto akiendelea kubakia CHADEMA. Woga huo wa Mbowe na Dr Slaa ndio umepelekea vigogo hao kumuanzishia visa na mikasa Zitto kwa namna tofauti tofauti ili tu watimize azma yao ya kumuondoa kwenye chama chao.

"Zitto huenda akafutwa CHADEMA. Lakini kamwe hawezi kufutwa mioyoni mwa Watanzania"
Ujumbe umefika. Je lugha uliyo tumia iko sahihi.
 
CDM,wanajifanya wajanja wakileo lkn wanaongozwa name Hanna kitu.
 
Niliwahi kuandika hapa,maneno ya kijinga yalisababisha karibu watu watolewe roho msiba wa Chacha Wangwe huo Tarime.Wajinga wangependa yatokee tena Kigoma.
Yote kwa yote,ZZK anatakiwa atoke mafichoni na awakanushe au kuwa support watu watu wanaoneza ujinga katika mitandao.

Mtu huwandika kulingana au kutowa tarifa kufikisha uhuru wa democrasia
Hakuna kiongozi anaeweA kukataza mtu kuwandika habari
Wana cdm hushinda na kuwandika utumbp humu uongo kila siku
Ni uhuru wao wa democrasia

Mimi nilishaifuta cdm kabisa ndani ya moyo wangu siku nyingi

Viva ACT viva
 
zito alikuwa mchonga lain kwa misaada kwa wafadhili wa nje zikija slaa anazikata juu kwa juu akiuliza wanakuja juu mwenyekiti mbowe dhaifu alishindwa kusuluhisha mgogoro huo wakavumisha zito ana anabebwa upande wa pili .hoja hii ni kweli utasikia wanavyoipinga

Hana huo uwezo ni kupeana sifa za ukoka Dk Slaa akiwa mbunge wa Mbulu alipewa misaada mingi toka ulaya kwanini Zitto kashindwa kufanya ya Slaa jimboni kwake? Kwa mifano hiyo mchonga line za wafadhili anaonekana ni yupi kati ya wawili tuandike kwa facts sio porojo za kwenye kahawa
 
Huyu mpuuzi tens msukule wa mwigulu ametumwa kuja kumsafisha msaliti zzk hapa. Eti zzk yupo miyoyoni mwa wa tz. Kama umepewa buku saba aka moyoni kwako niwew sio sisi ma interlectual. Sisi hata trillion mia hatumfagilii zzk msaliti. Na ukome kuwasemea watz we mpuuz
 
Only a fool can stand on the side of hypocricy

Kwanza adhabu ya kufukuzwa uanachama ambayo ameizuia mahakamani ni ndogo sana kwa Msaliti mkubwa kama Zitto. Magamba wamemtumia sana kwa mabilioni waliyokuwa wanampa ili aiuww CDM; na walivyoona wamefanikiwa kumpata MSALITI ZITTO wakaanza kujiapiza kwamba CDM lazima ife kabla ya 2013 kuisha. Shame on you MAGAMBA NA MSALITI WENU MLIYEKUWA MNAMTUMIA ZITTO.
 
Adhabu iliyokuwa inamfaa ilikuwa ni kupigwa risasi adharani kwa kisaliti tegemeo pekee la watanzania kutoka kwa mkoloni mweusi (Magamba)
 
Sijawahi kuona watu wana ubongo usofanya kazi kama wanacdm kuona mbowe ni mpinzani na siku mkija kumjua mbowe mtalia na kusaga meno
 
Kwanza adhabu ya kufukuzwa uanachama ambayo ameizuia mahakamani ni ndogo sana kwa Msaliti mkubwa kama Zitto. Magamba wamemtumia sana kwa mabilioni waliyokuwa wanampa ili aiuww CDM; na walivyoona wamefanikiwa kumpata MSALITI ZITTO wakaanza kujiapiza kwamba CDM lazima ife kabla ya 2013 kuisha. Shame on you MAGAMBA NA MSALITI WENU MLIYEKUWA MNAMTUMIA ZITTO.

zito ni msaliti wa wachaga wa chadema na wabaguzi wa kaskazini,,zito ni shujaa wa watanzania..zito ni jembe...kanda ya ziwa tunamkubali sana
 
Sijawahi kuona watu wana ubongo usofanya kazi kama wanacdm kuona mbowe ni mpinzani na siku mkija kumjua mbowe mtalia na kusaga meno

mbowe sio msaliti kwa sababu ni mchaga ..mbowe alipewa rushwa na nimrod mkono akasalliti jimbo la musoma vijijini, mbowe amejimilikisha gazeti la tanzania daima...lakini kwa sababu ni mchaga hamna shida ni shujaa wetu wachaga
 
Zzk ni mbinafsi ndo mana
Yakimkuta nasisi tunamweka pembeni. wakati wanachadema walikufa nakufiwa yeye alikaa pembeni kama vile yeye hatakutana nayo. Mfano lisu alifiwa na baba yake hakwenda arusha watu walikufa kwa mabomu kwenye mikutano ya kujenga chama hakwenda wala hakutoa comment yeyote. Mtu kama huyu in mbaya sana akipatwa na jambo lake unamwacha nayeye akipate
 
Lakini ni nani anayewakimbia wenzake? Ni ZITTO KABWE au ni hao CHADEMA ?

Mama yake ZITTO KABWE alikuwa MJUMBE wa KAMATI KUU YA CHADEMA TAIFA... HIYO kamati imekutana na Imeweka MUDA wa KUOMBOLEZA kifo chake... Sasa haujui kama wametuma RambiRambi na Mjumbe alitumwa ambaye Mimi na wewe hatumjui kwasababu ya VITISHO na MBINDE kuhusu kitu kinaitwa CHADEMA huko KIGOMA...

So... Safety 1st ---- Au Ulitaka waende waaibike IWE ndio the TOP of YOUR TOPIC??? JUST LOVE TO HUMILIATE HUMAN BEING... eh???

ZITTO Kufutwa MIOYONI Mwa Watanzania inawezekana kabisaaa kwasababu yeye sio Mpenda watanzania; Lakini labda kwenye MIOYO ya hao wa KIGOMA labda sababu ana ile tabia ya KIBAGUZI na U-MIMI... sidhani WATANZANIA are fond of such kind of a person...

c.c
PATIENT ZERO

Na kwa tabia yake ya U-MIMI, tulipokuwa Tosamaganga alipenda sana uongozi na kila alipogombea tulimpiga chini hata U-table leader hakupata.
 
Kumbe chama kinaongozwa na kiongozi form 6 division 6???!.
 
Wana Ukumbi,

Mpaka sasa wanachama wa CHADEMA na Watanzania wengine wenye mapenzi na chama hicho bado hawajawekwa wazi kuhusu kosa ambalo limemfukuzisha Zitto wadhifa wake ndani ya CHADEMA na majaribio kadhaa ya kumuondoa uanachama wake.

Zaidi zaidi wanachama wanasikia tetesi na vijihabari kuwa Zitto ni msaliti wa chama chake, lakini kimantiki hakuna hata chembe ya uthiitisho kuonyesha usaliti wake dhidi ya chake.

Kwa sababu hiyo ya kukosekana uthibitisho juu ya sababu za kutimuliwa kwa ZItto, ililazimu uchunguzi wa ziada ufanywe ili kubaini hasa chuki ya vigogo wa CHADEMA kwa ZItto inasababishwa na nini hasa?

Baada ya uchunguzi kukamilika, yafuatayo ndio yalibainika kuwasumbua sana viongozi wa CHADEMA na kufanya wakose amani pindi wamuonapo Zitto ndani ya chama chao:

ELIMU

Hapa sitaandika chochote zaidi ya kuambatanisha CV za wanasiasa wawili, yani Mbowe na Zitto. Kwa taarifa ni kwamba, Zitto ana tarajiwa kutunukiwa PhD yake hivi karibuni kwa kuwa tayari amekamilisha tafiti zake. Hongera Zitto. Kwa upande wa Mbowe, huyu aliishia kidato cha sita (6) ingawa HANA cheti cha kuhitimu, kwa maana alipata daraja sifuri (0).

SalutationHonourable
First Name: Kabwe
Middle Name:Zuberi
Last Name:Zitto
Constituent:Kigoma Kaskazini
Political Party:CHADEMA
Office Location:P.O.Box 325, Kigoma
Office Phone: +255 713 730 256
Ext.:
Office Fax: +255 22 2112538
Office E-mail: kzitto@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 24 September 1976

[TH="colspan: 3, align: left"] GENERAL [/TH]

[TD="align: center"] Member picture
1403.jpg
[/TD]

[TD="width: 20%"] Member Type: [/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
School Name/Location Course/Degree/Award
Bucerius Law School, Germany
University of Dar es Salaam
Inwent -IHK, Bonn, Federal Republic of Germany
Galanos Secondary School
Tosamaganga Secondary School
Kigoma Secondary School
Kibohehe Secondary School
Kigoma Primary School
Otto Beisheim School of Management, Germany

[TH="colspan: 5, align: left"] EDUCATION [/TH]

[TH="align: center"] Start Date [/TH]
[TH="width: 13%, align: center"] End Date [/TH]
[TH="width: 10%, align: center"] Level [/TH]

[TD="align: center"]MLB[/TD]
[TD="align: center"]2009[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]MASTERS DEGREE[/TD]

[TD="align: center"]BA (Economics )[/TD]
[TD="align: center"]1999[/TD]
[TD="align: center"]2003[/TD]
[TD="align: center"]GRADUATE[/TD]

[TD="align: center"]Advanced Training on International Marketing[/TD]
[TD="align: center"]2003[/TD]
[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]ADV DIPLOMA[/TD]

[TD="align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1996[/TD]
[TD="align: center"]1996[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]

[TD="align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1997[/TD]
[TD="align: center"]1998[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]

[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]

[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]1995[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]

[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1984[/TD]
[TD="align: center"]1990[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]

[TD="align: center"]PhD[/TD]
[TD="align: center"]2011[/TD]
[TD="align: center"]To Date[/TD]
[TD="align: center"]NOT COMPLETED[/TD]
Company Name
Ministry of Finance - PSU (NSA Support for Cotonou Agreement)Moderator
Ministry of Finance -Tanzania & Ministry of Trade & IndustriesEvent Manager
The Parliament of TanzaniaMember - Kigoma North
IHK - Bonn & TIC-Tanzania (Business Mission to SIAL Pans)Project Manager
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMADirector, Campaigns and Elections
Friedrich Ebert Foundation - FESProject Manager
Tanzania Gender Network (TGNP)Training & Research Internship
National Youth Forum (NYF)Programme Officer

[TH="colspan: 4, align: left"] EMPLOYMENT HISTORY [/TH]

[TH="align: center"] Position [/TH]
[TH="align: center"] From [/TH]
[TH="align: center"] To [/TH]

[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"]To Date[/TD]

[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"]To Date[/TD]

[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"]Todate[/TD]

[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]2004[/TD]

[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]Todate[/TD]

[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]2005[/TD]

[TD="align: center"]2002[/TD]
[TD="align: center"]2002[/TD]

[TD="align: center"]2000[/TD]
[TD="align: center"]2002[/TD]
CHADEMADeputy Secretary General
CHADEMASecretary Parliamentary Group
CHADEMADirector Foreign Office
DARUSOSecretary General
Tanzania Students Networking Programme (TSNP)Chief Executive Officer

[TH="colspan: 4, align: left"] POLITICAL EXPERIENCE [/TH]

[TH="class: text_menu"]Ministry/Political Party/Location[/TH]
[TH="class: text_menu, align: center"]Position[/TH]
[TH="class: text_menu, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]

[TD="align: center"]2007[/TD]
[TD="align: center"]To Date[/TD]

[TD="align: center"]2006[/TD]
[TD="align: center"]To Date[/TD]

[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]To Date[/TD]

[TD="align: center"]2002[/TD]
[TD="align: center"]2003[/TD]

[TD="align: center"]2001[/TD]
[TD="align: center"]2003[/TD]

KUKUBALIKA KITAIFA NA KIMATAIFA

Ni ukweli usiohitaji mjadala kuwa ZItto ana jina kubwa ndani na nje ya nchi linapokuja suala la siasa safi za kujenga hoja. Ingawa sipingi kuwa wapo wanasiasa wenye jina kama Lema, lakini tukiangalia kilichowapa jina sio kitu cha kujivunia kabisa. Kwa mfano wote tunajua kuwa Lema bila ya sakata la kuliwa "mtaro wa majitaka" asingepata jina kwenye siasa.

View attachment 163421Akiwa na rais Kikwete View attachment 163422Akiwa na balozi wa marekani nchini

UZALENDO USIO PIMIKA

Kwenye uzalendo na mapenzi mema ya nchi, Zitto hana wa kumtolea mfano. Kwa hali ya kawaida, mwanasiasa kama Zitto kukubali kuteseka na kuumia kwenye mafunzo ya "national service" sio jambo dogo. Ni mtu mwenye uzalendo tu ndiye atakubali kujumuika kwenye mafunzo yale. Tuliopita tunajua hali ya kule. Kama itakumbukwa, Mbowe, Nassari, Lema na wengineo waliogopa kabisa kushiriki.

View attachment 163420

Kwa ufupi tu ni kwamba, haya machache ndio yanawatia hofu na wasiwasi vigogo wa CHADEMA juu ya hatma yao endapo Zitto akiendelea kubakia CHADEMA. Woga huo wa Mbowe na Dr Slaa ndio umepelekea vigogo hao kumuanzishia visa na mikasa Zitto kwa namna tofauti tofauti ili tu watimize azma yao ya kumuondoa kwenye chama chao.

"Zitto huenda akafutwa CHADEMA. Lakini kamwe hawezi kufutwa mioyoni mwa Watanzania"

Uchunguzi uliufanya, umetumia criteria gani kufanya uchunguzi? TOR zako zilibase kwenye nini? Nani alikuajiri kufanya uchunguzi husika? kwa faida ya nani?

"Zitto huenda akafutwa CHADEMA. Lakini kamwe hawezi kufutwa mioyoni mwa Watanzania" ----- Kwa msemo huu, hii ni kete ya kuanzisha chama chake mwenyewe akiwa na wewe, mnaweza mkachukua nchi na kutupeleka hatua nyingi mbele! Tunahitaji maendeleo, kwani lazima muwe chadema??? Issue sio chama au personalities, ishu ni maslahi ya Taifa Mbele. CCM wana personalities kubwa sana nchi hii, na watu wakubwa wengi wako ccm!! Je unajua tatizo ni nini? hawako tena kwa maslahi ya Taifa. Sawa sawa na wewe tu na aliyekutuma.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom