Chuki ya Mbowe na Dr. Slaa kwa Zitto yabainika!

Chuki ya Mbowe na Dr. Slaa kwa Zitto yabainika!

Status
Not open for further replies.
Jana mlitueleza hapa kwamba ACT-Tanzania ni JIPU LA KWAPA! Ukiinua mkono linauma, ukiteremsha mkono linauma, ukitulia tuli linauma .............. Sasa hizi "mboyoyo" zote za nini?! Kweli MALAYA ni MALAYA tu haachi asili yake! Malaya aliyezoea KUHONGWA pesa (blood money) hawezi kufanya kazi ya halali. CCM wamekutumia kama kondomu sasa kwishney, hawawezi kuendelea kukuhonga pesa za bure tena wakati matumizi yako yamewisha. You wrote your own political obituary Mr. Zitto Zuberi Kabwe.

Zifo hakufikiria umasikini unaotukabili wa Tz na lasilimali tulizo nazo,inauma sana kwa wapinzani waaina hii kwanini msiwe na msimamo kama wa Seif huko Zanzibar anania kweli.
 
mbona jk ana degree moja tena gpa ya 2.8 na ana mawaziri maprofesa sababu za kijinga hizo,siasa na elimu wapi na wapi,kama siasa ni elimu tungewachukua maprofesa wote pale ud wakatawala nchi ,kuna college drop out wengi wamefanikiwa kisiasa kuliko wasomi
 
Mkuu utakufa masikini kwa kuwaza kichoko..wew mwenye div 1 unamzidi nin mbowe alotaga..?

Kama ningekuwa Dr Mbowe ule waraka ningechukua na kuwafanya Dr wa ukweli kitila na Mwigamba kuwa washauri wangu wakuu na kuwapiga chini watu waaina ya Dr lema
 
Inabidi tufike hatua tuwe wawazi.
Mjadala wa Mbowe kuishia form six kisha akapata zero me sizani kama ina mantiki kurefusha maelezo.

Maelezo mafupi yanayojitosheleza inabidi kusema KAHITIMU KIDATO CHA NNE.
Kwan haina hata ya kusema KAMALIZA FORM SIX LAKINI KAPATA ZERO. Wakati sote tunajua ukipata zero hupewi cheti.
 
Nikisikia habari za huyu kijana wa Kigoma bwana Zitto hukumbuka sana sana Dr. Kaburu (spelling?), mtu machachari aliyeongoza mageuzi na kuingia mioyoni mwa watanzania. Magamba walimrubuni! Ilikuwa mstuko kusikia karudi CCM....kunani kigoma?...list ni ndefu wakiwamo akina Ngwazungwako (spelling?) na wenzake.
 
dah mm nalijua 2 cdm c chama bali ni majanga wanakusanya nguvu kupitia cuf nao kupitia ukawa naelewa maslah yatawagawa tu s unajua cdm maslah mbele
 
Patient Zero, unastahili msaada, CV na kukutana na Jasusi wa USA plus kukubalika na M/kiti wa CCM kwako unaona ni bonge la ujiko? Weka CV ya Chenge, Dr Kafumu, Rostam, Mkapa, Yona, Mramba, Dr Ballali et al hapa... vyeti bila uzalendo ni ujuha wa kutumiwa kwa msaada wa watu wa Magharibi ...Unataka uthibitisho gani zaidi ya zile transactions za malipo kwa wasaliti wenzie? uhusiano wake na Zoka, Igondou, Nchemba mbona unajulikana? rejea ile nyaraka isiyotakiwa humu jukwaani mkuu maana ilikuwa na simu zote za wahusika plus details za kutosha ... Zitto amejiua kisiasa mwenyewe ...
 
Mkuu utakufa masikini kwa kuwaza kichoko..wew mwenye div 1 unamzidi nin mbowe alotaga..?

Mbowe ndio kiongozi pekee wa chama mwenye historia ya kutaga. Hiyo iko kwenye record zote kwamba alishindwa mitihani pamoja na kufundishwa darasani. Hivi wewe kwa akili zako kama mtu kashindwa mitihani ataweza ongoza nchi? Labda akapewe u chief wa wachaga
 
Kama ningekuwa Dr Mbowe ule waraka ningechukua na kuwafanya Dr wa ukweli kitila na Mwigamba kuwa washauri wangu wakuu na kuwapiga chini watu waaina ya Dr lema

your out of your mind! Wenzako wako ACT wanapokea ruzuku ya 400Million per month... Karume alikuwa na degree ngapi? legacy yake mbona iko wazi? wenye ma phd mbona wanaishia kutorosha mihela uswis?... Lini mtajitambua? Uzalendo kwanza siyo mivyeti isiyokuwa na deliverables kwa jamii... Mbowe ameweza kujenga taasisi isiyo yumbishwa kwakuwa hana price TAG mgongoni kama akina Mwigamba et al ..
 
unapoteza muda tu,sisi hatuhangaiki na marehemu huyo wa kisiasa,Kwisha habari yake.Dhambi ya usaliti itamtafuna hadi kuzimu

Endelea kujifariji kuwa Zitto amekufa kisiasa!! For your information Zitto is another level. Usitake kumlinganisha na hao viongozi wenu wasema ovyo.
 
mbona jk ana degree moja tena gpa ya 2.8 na ana mawaziri maprofesa sababu za kijinga hizo,siasa na elimu wapi na wapi,kama siasa ni elimu tungewachukua maprofesa wote pale ud wakatawala nchi ,kuna college drop out wengi wamefanikiwa kisiasa kuliko wasomi

Kuongoza nchi siyo sawa na kua Mtemi. Huwezi kupata zero halafu eti uwaze Kuongoza nchi. Labda kama ni nchi ya machizi. Ulimwengu wa sasa mtu anayewaza Kuongoza nchi lazima angalau awe na elimu siyo historia ya kushindwa mitihani. Nawashauri huyo Mbowe mkampe u chief wa wachaga
 
Patient Zero, unastahili msaada, CV na kukutana na Jasusi wa USA plus kukubalika na M/kiti wa CCM kwako unaona ni bonge la ujiko? Weka CV ya Chenge, Dr Kafumu, Rostam, Mkapa, Yona, Mramba, Dr Ballali et al hapa... vyeti bila uzalendo ni ujuha wa kutumiwa kwa msaada wa watu wa Magharibi ...Unataka uthibitisho gani zaidi ya zile transactions za malipo kwa wasaliti wenzie? uhusiano wake na Zoka, Igondou, Nchemba mbona unajulikana? rejea ile nyaraka isiyotakiwa humu jukwaani mkuu maana ilikuwa na simu zote za wahusika plus details za kutosha ... Zitto amejiua kisiasa mwenyewe ...

Mkuu kwanza nashangaa sana Zittowanamuweka kwenye kundi la Wasomi kwa lipi? Kuwa na masters ndio usomi? Wako wangapi nchi hii sasa hivi? Au kuna machapisho ya kitaaluma aliyoandika yanayoweza kumfanya aingie kwenye kundi la wasomi waliotukuka?
Ninaloliona mimi ni kuwa makala za kumsifia Zitto anaziandika mwenyewe kwa kutumia ID tofauti na kwa vile pengine yeye ndio wa kwanza kupata degree pale kwao Mwandiga anaona yeye ni msomi sana na hapo ndio matatizo yanapojitokeza.
Zitto amebebwa sana na chama chake kumfikisha alipo ila kama mtu asiyejitambua yamemtokea hayo na amekwisha.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Wana Ukumbi,

Mpaka sasa wanachama wa CHADEMA na Watanzania wengine wenye mapenzi na chama hicho bado hawajawekwa wazi kuhusu kosa ambalo limemfukuzisha Zitto wadhifa wake ndani ya CHADEMA na majaribio kadhaa ya kumuondoa uanachama wake.

Zaidi zaidi wanachama wanasikia tetesi na vijihabari kuwa Zitto ni msaliti wa chama chake, lakini kimantiki hakuna hata chembe ya uthiitisho kuonyesha usaliti wake dhidi ya chake.

Kwa sababu hiyo ya kukosekana uthibitisho juu ya sababu za kutimuliwa kwa ZItto, ililazimu uchunguzi wa ziada ufanywe ili kubaini hasa chuki ya vigogo wa CHADEMA kwa ZItto inasababishwa na nini hasa?

Baada ya uchunguzi kukamilika, yafuatayo ndio yalibainika kuwasumbua sana viongozi wa CHADEMA na kufanya wakose amani pindi wamuonapo Zitto ndani ya chama chao:

ELIMU

Hapa sitaandika chochote zaidi ya kuambatanisha CV za wanasiasa wawili, yani Mbowe na Zitto. Kwa taarifa ni kwamba, Zitto ana tarajiwa kutunukiwa PhD yake hivi karibuni kwa kuwa tayari amekamilisha tafiti zake. Hongera Zitto. Kwa upande wa Mbowe, huyu aliishia kidato cha sita (6) ingawa HANA cheti cha kuhitimu, kwa maana alipata daraja sifuri (0).

SalutationHonourable
First Name: Kabwe
Middle Name:Zuberi
Last Name:Zitto
Constituent:Kigoma Kaskazini
Political Party:CHADEMA
Office Location:P.O.Box 325, Kigoma
Office Phone: +255 713 730 256
Ext.:
Office Fax: +255 22 2112538
Office E-mail: kzitto@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 24 September 1976

[TH="colspan: 3, align: left"] GENERAL [/TH]

[TD="align: center"] Member picture
1403.jpg
[/TD]

[TD="width: 20%"] Member Type: [/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
School Name/Location Course/Degree/Award
Bucerius Law School, Germany
University of Dar es Salaam
Inwent -IHK, Bonn, Federal Republic of Germany
Galanos Secondary School
Tosamaganga Secondary School
Kigoma Secondary School
Kibohehe Secondary School
Kigoma Primary School
Otto Beisheim School of Management, Germany

[TH="colspan: 5, align: left"] EDUCATION [/TH]

[TH="width: 15%, align: center"] Start Date [/TH]
[TH="width: 13%, align: center"] End Date [/TH]
[TH="width: 10%, align: center"] Level [/TH]

[TD="align: center"]MLB[/TD]
[TD="align: center"]2009[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]MASTERS DEGREE[/TD]

[TD="align: center"]BA (Economics )[/TD]
[TD="align: center"]1999[/TD]
[TD="align: center"]2003[/TD]
[TD="align: center"]GRADUATE[/TD]

[TD="align: center"]Advanced Training on International Marketing[/TD]
[TD="align: center"]2003[/TD]
[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]ADV DIPLOMA[/TD]

[TD="align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1996[/TD]
[TD="align: center"]1996[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]

[TD="align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1997[/TD]
[TD="align: center"]1998[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]

[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]

[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]1995[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]

[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1984[/TD]
[TD="align: center"]1990[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]

[TD="align: center"]PhD[/TD]
[TD="align: center"]2011[/TD]
[TD="align: center"]To Date[/TD]
[TD="align: center"]NOT COMPLETED[/TD]
Company Name
Ministry of Finance - PSU (NSA Support for Cotonou Agreement)Moderator
Ministry of Finance -Tanzania & Ministry of Trade & IndustriesEvent Manager
The Parliament of TanzaniaMember - Kigoma North
IHK - Bonn & TIC-Tanzania (Business Mission to SIAL Pans)Project Manager
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMADirector, Campaigns and Elections
Friedrich Ebert Foundation - FESProject Manager
Tanzania Gender Network (TGNP)Training & Research Internship
National Youth Forum (NYF)Programme Officer

[TH="colspan: 4, align: left"] EMPLOYMENT HISTORY [/TH]

[TH="align: center"] Position [/TH]
[TH="align: center"] From [/TH]
[TH="align: center"] To [/TH]

[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"]To Date[/TD]

[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"]To Date[/TD]

[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"]Todate[/TD]

[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]2004[/TD]

[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]Todate[/TD]

[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]2005[/TD]

[TD="align: center"]2002[/TD]
[TD="align: center"]2002[/TD]

[TD="align: center"]2000[/TD]
[TD="align: center"]2002[/TD]
CHADEMADeputy Secretary General
CHADEMASecretary Parliamentary Group
CHADEMADirector Foreign Office
DARUSOSecretary General
Tanzania Students Networking Programme (TSNP)Chief Executive Officer

[TH="colspan: 4, align: left"] POLITICAL EXPERIENCE [/TH]

[TH="class: text_menu"]Ministry/Political Party/Location[/TH]
[TH="class: text_menu, align: center"]Position[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]

[TD="align: center"]2007[/TD]
[TD="align: center"]To Date[/TD]

[TD="align: center"]2006[/TD]
[TD="align: center"]To Date[/TD]

[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]To Date[/TD]

[TD="align: center"]2002[/TD]
[TD="align: center"]2003[/TD]

[TD="align: center"]2001[/TD]
[TD="align: center"]2003[/TD]

KUKUBALIKA KITAIFA NA KIMATAIFA

Ni ukweli usiohitaji mjadala kuwa ZItto ana jina kubwa ndani na nje ya nchi linapokuja suala la siasa safi za kujenga hoja. Ingawa sipingi kuwa wapo wanasiasa wenye jina kama Lema, lakini tukiangalia kilichowapa jina sio kitu cha kujivunia kabisa. Kwa mfano wote tunajua kuwa Lema bila ya sakata la kuliwa "mtaro wa majitaka" asingepata jina kwenye siasa.

View attachment 163421Akiwa na rais Kikwete View attachment 163422Akiwa na balozi wa marekani nchini

UZALENDO USIO PIMIKA

Kwenye uzalendo na mapenzi mema ya nchi, Zitto hana wa kumtolea mfano. Kwa hali ya kawaida, mwanasiasa kama Zitto kukubali kuteseka na kuumia kwenye mafunzo ya "national service" sio jambo dogo. Ni mtu mwenye uzalendo tu ndiye atakubali kujumuika kwenye mafunzo yale. Tuliopita tunajua hali ya kule. Kama itakumbukwa, Mbowe, Nassari, Lema na wengineo waliogopa kabisa kushiriki.

View attachment 163420

Kwa ufupi tu ni kwamba, haya machache ndio yanawatia hofu na wasiwasi vigogo wa CHADEMA juu ya hatma yao endapo Zitto akiendelea kubakia CHADEMA. Woga huo wa Mbowe na Dr Slaa ndio umepelekea vigogo hao kumuanzishia visa na mikasa Zitto kwa namna tofauti tofauti ili tu watimize azma yao ya kumuondoa kwenye chama chao.

"Zitto huenda akafutwa CHADEMA. Lakini kamwe hawezi kufutwa mioyoni mwa Watanzania"

We ni mmoja wa wanaokunjwa na zito.uongozi si elimu dunia pekee ni karama toka kwa mungu.firauni mkubwa wewe
 
kwetu bukoba kila nyumba ina phd sasa hizi masters ni takataka tu
 
usisahau pia JK anawongoza hata wazazi wako, wewe mwenyewe wakiwemo hao unaowaabudu akina slaa na mbowe. na wakiitwa kwenda kunywa juice ikulu wanaenda.

vijana wa ccm hoja zenu huwa zinanifurahisha sana hamnaga uwezo wa kujenga hoja zenye mashiko yaan nyie ni full pumba, kweli nimeamini mtaji wa ccm ni watu wasio enda shule na kma wameenda basi kwa kununua vyeti au kufoji duu! Tanzania bado inasafari ndefu aisee! Sasa tazama ulie mquote alichoandika halafu linganisha na majibu yako ndio utakapo jiona kumbe wewe ni bora ya mfu.nihayo tu ingawa ukweli huu utakuuma na huenda ukapanic na kuanza kuporomosha matusi.
 
Wana Ukumbi,

Mpaka sasa wanachama wa CHADEMA na Watanzania wengine wenye mapenzi na chama hicho bado hawajawekwa wazi kuhusu kosa ambalo limemfukuzisha Zitto wadhifa wake ndani ya CHADEMA na majaribio kadhaa ya kumuondoa uanachama wake.

Zaidi zaidi wanachama wanasikia tetesi na vijihabari kuwa Zitto ni msaliti wa chama chake, lakini kimantiki hakuna hata chembe ya uthiitisho kuonyesha usaliti wake dhidi ya chake.

Kwa sababu hiyo ya kukosekana uthibitisho juu ya sababu za kutimuliwa kwa ZItto, ililazimu uchunguzi wa ziada ufanywe ili kubaini hasa chuki ya vigogo wa CHADEMA kwa ZItto inasababishwa na nini hasa?

Baada ya uchunguzi kukamilika, yafuatayo ndio yalibainika kuwasumbua sana viongozi wa CHADEMA na kufanya wakose amani pindi wamuonapo Zitto ndani ya chama chao:

ELIMU

Hapa sitaandika chochote zaidi ya kuambatanisha CV za wanasiasa wawili, yani Mbowe na Zitto. Kwa taarifa ni kwamba, Zitto ana tarajiwa kutunukiwa PhD yake hivi karibuni kwa kuwa tayari amekamilisha tafiti zake. Hongera Zitto. Kwa upande wa Mbowe, huyu aliishia kidato cha sita (6) ingawa HANA cheti cha kuhitimu, kwa maana alipata daraja sifuri (0).

SalutationHonourable
First Name: Kabwe
Middle Name:Zuberi
Last Name:Zitto
Constituent:Kigoma Kaskazini
Political Party:CHADEMA
Office Location:P.O.Box 325, Kigoma
Office Phone: +255 713 730 256
Ext.:
Office Fax: +255 22 2112538
Office E-mail: kzitto@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 24 September 1976

[TH="colspan: 3, align: left"] GENERAL [/TH]

[TD="align: center"] Member picture
1403.jpg
[/TD]

[TD="width: 20%"] Member Type: [/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
School Name/Location Course/Degree/Award
Bucerius Law School, Germany
University of Dar es Salaam
Inwent -IHK, Bonn, Federal Republic of Germany
Galanos Secondary School
Tosamaganga Secondary School
Kigoma Secondary School
Kibohehe Secondary School
Kigoma Primary School
Otto Beisheim School of Management, Germany

[TH="colspan: 5, align: left"] EDUCATION [/TH]

[TH="width: 15%, align: center"] Start Date [/TH]
[TH="width: 13%, align: center"] End Date [/TH]
[TH="width: 10%, align: center"] Level [/TH]

[TD="align: center"]MLB[/TD]
[TD="align: center"]2009[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]MASTERS DEGREE[/TD]

[TD="align: center"]BA (Economics )[/TD]
[TD="align: center"]1999[/TD]
[TD="align: center"]2003[/TD]
[TD="align: center"]GRADUATE[/TD]

[TD="align: center"]Advanced Training on International Marketing[/TD]
[TD="align: center"]2003[/TD]
[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]ADV DIPLOMA[/TD]

[TD="align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1996[/TD]
[TD="align: center"]1996[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]

[TD="align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1997[/TD]
[TD="align: center"]1998[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]

[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]

[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]1995[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]

[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1984[/TD]
[TD="align: center"]1990[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]

[TD="align: center"]PhD[/TD]
[TD="align: center"]2011[/TD]
[TD="align: center"]To Date[/TD]
[TD="align: center"]NOT COMPLETED[/TD]
Company Name
Ministry of Finance - PSU (NSA Support for Cotonou Agreement)Moderator
Ministry of Finance -Tanzania & Ministry of Trade & IndustriesEvent Manager
The Parliament of TanzaniaMember - Kigoma North
IHK - Bonn & TIC-Tanzania (Business Mission to SIAL Pans)Project Manager
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMADirector, Campaigns and Elections
Friedrich Ebert Foundation - FESProject Manager
Tanzania Gender Network (TGNP)Training & Research Internship
National Youth Forum (NYF)Programme Officer

[TH="colspan: 4, align: left"] EMPLOYMENT HISTORY [/TH]

[TH="align: center"] Position [/TH]
[TH="align: center"] From [/TH]
[TH="align: center"] To [/TH]

[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"]To Date[/TD]

[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"]To Date[/TD]

[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"]Todate[/TD]

[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]2004[/TD]

[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]Todate[/TD]

[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]2005[/TD]

[TD="align: center"]2002[/TD]
[TD="align: center"]2002[/TD]

[TD="align: center"]2000[/TD]
[TD="align: center"]2002[/TD]
CHADEMADeputy Secretary General
CHADEMASecretary Parliamentary Group
CHADEMADirector Foreign Office
DARUSOSecretary General
Tanzania Students Networking Programme (TSNP)Chief Executive Officer

[TH="colspan: 4, align: left"] POLITICAL EXPERIENCE [/TH]

[TH="class: text_menu"]Ministry/Political Party/Location[/TH]
[TH="class: text_menu, align: center"]Position[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]

[TD="align: center"]2007[/TD]
[TD="align: center"]To Date[/TD]

[TD="align: center"]2006[/TD]
[TD="align: center"]To Date[/TD]

[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]To Date[/TD]

[TD="align: center"]2002[/TD]
[TD="align: center"]2003[/TD]

[TD="align: center"]2001[/TD]
[TD="align: center"]2003[/TD]

KUKUBALIKA KITAIFA NA KIMATAIFA

Ni ukweli usiohitaji mjadala kuwa ZItto ana jina kubwa ndani na nje ya nchi linapokuja suala la siasa safi za kujenga hoja. Ingawa sipingi kuwa wapo wanasiasa wenye jina kama Lema, lakini tukiangalia kilichowapa jina sio kitu cha kujivunia kabisa. Kwa mfano wote tunajua kuwa Lema bila ya sakata la kuliwa "mtaro wa majitaka" asingepata jina kwenye siasa.

View attachment 163421Akiwa na rais Kikwete View attachment 163422Akiwa na balozi wa marekani nchini

UZALENDO USIO PIMIKA

Kwenye uzalendo na mapenzi mema ya nchi, Zitto hana wa kumtolea mfano. Kwa hali ya kawaida, mwanasiasa kama Zitto kukubali kuteseka na kuumia kwenye mafunzo ya "national service" sio jambo dogo. Ni mtu mwenye uzalendo tu ndiye atakubali kujumuika kwenye mafunzo yale. Tuliopita tunajua hali ya kule. Kama itakumbukwa, Mbowe, Nassari, Lema na wengineo waliogopa kabisa kushiriki.

View attachment 163420

Kwa ufupi tu ni kwamba, haya machache ndio yanawatia hofu na wasiwasi vigogo wa CHADEMA juu ya hatma yao endapo Zitto akiendelea kubakia CHADEMA. Woga huo wa Mbowe na Dr Slaa ndio umepelekea vigogo hao kumuanzishia visa na mikasa Zitto kwa namna tofauti tofauti ili tu watimize azma yao ya kumuondoa kwenye chama chao.

"Zitto huenda akafutwa CHADEMA. Lakini kamwe hawezi kufutwa mioyoni mwa Watanzania"

Wewe Kama umetumwa na huyo zzk kuomba msamaha kwa wanachadema,rudisha posho kwani huku hana nafasi tena.
 
Mkuu kwanza nashangaa sana Zittowanamuweka kwenye kundi la Wasomi kwa lipi? Kuwa na masters ndio usomi? Wako wangapi nchi hii sasa hivi? Au kuna machapisho ya kitaaluma aliyoandika yanayoweza kumfanya aingie kwenye kundi la wasomi waliotukuka?
Ninaloliona mimi ni kuwa makala za kumsifia Zitto anaziandika mwenyewe kwa kutumia ID tofauti na kwa vile pengine yeye ndio wa kwanza kupata degree pale kwao Mwandiga anaona yeye ni msomi sana na hapo ndio matatizo yanapojitokeza.
Zitto amebebwa sana na chama chake kumfikisha alipo ila kama mtu asiyejitambua yamemtokea hayo na amekwisha.

Sent from my iPad using JamiiForums

Aliyekwisha ni Zitto au ni Chadema? Kama Zitto angekua amekwisha angeshaomba msaada kama Chadema walivyowaangukia CUF na NCCR licha ya kuwatukana matusi lukuki. Zitto ni mtu mwingine jamani. There is only one Zitto. Chadema kwishiney sasa hivi kuna UKAWA
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom