Wana Ukumbi,
Mpaka sasa wanachama wa CHADEMA na Watanzania wengine wenye mapenzi na chama hicho bado hawajawekwa wazi kuhusu kosa ambalo limemfukuzisha Zitto wadhifa wake ndani ya CHADEMA na majaribio kadhaa ya kumuondoa uanachama wake.
Zaidi zaidi wanachama wanasikia tetesi na vijihabari kuwa Zitto ni msaliti wa chama chake, lakini kimantiki hakuna hata chembe ya uthiitisho kuonyesha usaliti wake dhidi ya chake.
Kwa sababu hiyo ya kukosekana uthibitisho juu ya sababu za kutimuliwa kwa ZItto, ililazimu uchunguzi wa ziada ufanywe ili kubaini hasa chuki ya vigogo wa CHADEMA kwa ZItto inasababishwa na nini hasa?
Baada ya uchunguzi kukamilika, yafuatayo ndio yalibainika kuwasumbua sana viongozi wa CHADEMA na kufanya wakose amani pindi wamuonapo Zitto ndani ya chama chao:
ELIMU
Hapa sitaandika chochote zaidi ya kuambatanisha CV za wanasiasa wawili, yani Mbowe na Zitto. Kwa taarifa ni kwamba, Zitto ana tarajiwa kutunukiwa PhD yake hivi karibuni kwa kuwa tayari amekamilisha tafiti zake. Hongera Zitto. Kwa upande wa Mbowe, huyu aliishia kidato cha sita (6) ingawa HANA cheti cha kuhitimu, kwa maana alipata daraja sifuri (0).
[TH="colspan: 3, align: left"] GENERAL [/TH]
[TD="align: center"] Member picture
[/TD]
[TD="width: 20%"] Member Type: [/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
[TH="colspan: 5, align: left"] EDUCATION [/TH]
[TH="width: 15%, align: center"] Start Date [/TH]
[TH="width: 13%, align: center"] End Date [/TH]
[TH="width: 10%, align: center"] Level [/TH]
[TD="align: center"]MLB[/TD]
[TD="align: center"]2009[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]MASTERS DEGREE[/TD]
[TD="align: center"]BA (Economics )[/TD]
[TD="align: center"]1999[/TD]
[TD="align: center"]2003[/TD]
[TD="align: center"]GRADUATE[/TD]
[TD="align: center"]Advanced Training on International Marketing[/TD]
[TD="align: center"]2003[/TD]
[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]ADV DIPLOMA[/TD]
[TD="align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1996[/TD]
[TD="align: center"]1996[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]
[TD="align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1997[/TD]
[TD="align: center"]1998[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]1995[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1984[/TD]
[TD="align: center"]1990[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[TD="align: center"]PhD[/TD]
[TD="align: center"]2011[/TD]
[TD="align: center"]To Date[/TD]
[TD="align: center"]NOT COMPLETED[/TD]
[TH="colspan: 4, align: left"] EMPLOYMENT HISTORY [/TH]
[TH="align: center"] Position [/TH]
[TH="align: center"] From [/TH]
[TH="align: center"] To [/TH]
[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"]To Date[/TD]
[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"]To Date[/TD]
[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"]Todate[/TD]
[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]Todate[/TD]
[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"]2002[/TD]
[TD="align: center"]2002[/TD]
[TD="align: center"]2000[/TD]
[TD="align: center"]2002[/TD]
[TH="colspan: 4, align: left"] POLITICAL EXPERIENCE [/TH]
[TH="class: text_menu"]Ministry/Political Party/Location[/TH]
[TH="class: text_menu, align: center"]Position[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]
[TD="align: center"]2007[/TD]
[TD="align: center"]To Date[/TD]
[TD="align: center"]2006[/TD]
[TD="align: center"]To Date[/TD]
[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]To Date[/TD]
[TD="align: center"]2002[/TD]
[TD="align: center"]2003[/TD]
[TD="align: center"]2001[/TD]
[TD="align: center"]2003[/TD]
KUKUBALIKA KITAIFA NA KIMATAIFA
Ni ukweli usiohitaji mjadala kuwa ZItto ana jina kubwa ndani na nje ya nchi linapokuja suala la siasa safi za kujenga hoja. Ingawa sipingi kuwa wapo wanasiasa wenye jina kama Lema, lakini tukiangalia kilichowapa jina sio kitu cha kujivunia kabisa. Kwa mfano wote tunajua kuwa Lema bila ya sakata la kuliwa "mtaro wa majitaka" asingepata jina kwenye siasa.
View attachment 163421Akiwa na rais Kikwete View attachment 163422Akiwa na balozi wa marekani nchini
UZALENDO USIO PIMIKA
Kwenye uzalendo na mapenzi mema ya nchi, Zitto hana wa kumtolea mfano. Kwa hali ya kawaida, mwanasiasa kama Zitto kukubali kuteseka na kuumia kwenye mafunzo ya "national service" sio jambo dogo. Ni mtu mwenye uzalendo tu ndiye atakubali kujumuika kwenye mafunzo yale. Tuliopita tunajua hali ya kule. Kama itakumbukwa, Mbowe, Nassari, Lema na wengineo waliogopa kabisa kushiriki.
View attachment 163420
Kwa ufupi tu ni kwamba, haya machache ndio yanawatia hofu na wasiwasi vigogo wa CHADEMA juu ya hatma yao endapo Zitto akiendelea kubakia CHADEMA. Woga huo wa Mbowe na Dr Slaa ndio umepelekea vigogo hao kumuanzishia visa na mikasa Zitto kwa namna tofauti tofauti ili tu watimize azma yao ya kumuondoa kwenye chama chao.
"Zitto huenda akafutwa CHADEMA. Lakini kamwe hawezi kufutwa mioyoni mwa Watanzania"

| Salutation | Honourable |
| First Name: | Kabwe |
| Middle Name: | Zuberi |
| Last Name: | Zitto |
| Constituent: | Kigoma Kaskazini |
| Political Party: | CHADEMA |
| Office Location: | P.O.Box 325, Kigoma |
| Office Phone: | +255 713 730 256 |
| Ext.: | |
| Office Fax: | +255 22 2112538 |
| Office E-mail: | kzitto@parliament.go.tz |
| Member Status: | Current Member |
| Date of Birth | 24 September 1976 |
[TH="colspan: 3, align: left"] GENERAL [/TH]
[TD="align: center"] Member picture
[TD="width: 20%"] Member Type: [/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
| School Name/Location | Course/Degree/Award |
|---|---|
| Bucerius Law School, Germany | |
| University of Dar es Salaam | |
| Inwent -IHK, Bonn, Federal Republic of Germany | |
| Galanos Secondary School | |
| Tosamaganga Secondary School | |
| Kigoma Secondary School | |
| Kibohehe Secondary School | |
| Kigoma Primary School | |
| Otto Beisheim School of Management, Germany |
[TH="colspan: 5, align: left"] EDUCATION [/TH]
[TH="width: 15%, align: center"] Start Date [/TH]
[TH="width: 13%, align: center"] End Date [/TH]
[TH="width: 10%, align: center"] Level [/TH]
[TD="align: center"]MLB[/TD]
[TD="align: center"]2009[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]MASTERS DEGREE[/TD]
[TD="align: center"]BA (Economics )[/TD]
[TD="align: center"]1999[/TD]
[TD="align: center"]2003[/TD]
[TD="align: center"]GRADUATE[/TD]
[TD="align: center"]Advanced Training on International Marketing[/TD]
[TD="align: center"]2003[/TD]
[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]ADV DIPLOMA[/TD]
[TD="align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1996[/TD]
[TD="align: center"]1996[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]
[TD="align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1997[/TD]
[TD="align: center"]1998[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]1995[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1984[/TD]
[TD="align: center"]1990[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[TD="align: center"]PhD[/TD]
[TD="align: center"]2011[/TD]
[TD="align: center"]To Date[/TD]
[TD="align: center"]NOT COMPLETED[/TD]
| Company Name | |
|---|---|
| Ministry of Finance - PSU (NSA Support for Cotonou Agreement) | Moderator |
| Ministry of Finance -Tanzania & Ministry of Trade & Industries | Event Manager |
| The Parliament of Tanzania | Member - Kigoma North |
| IHK - Bonn & TIC-Tanzania (Business Mission to SIAL Pans) | Project Manager |
| Chama Cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA | Director, Campaigns and Elections |
| Friedrich Ebert Foundation - FES | Project Manager |
| Tanzania Gender Network (TGNP) | Training & Research Internship |
| National Youth Forum (NYF) | Programme Officer |
[TH="colspan: 4, align: left"] EMPLOYMENT HISTORY [/TH]
[TH="align: center"] Position [/TH]
[TH="align: center"] From [/TH]
[TH="align: center"] To [/TH]
[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"]To Date[/TD]
[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"]To Date[/TD]
[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"]Todate[/TD]
[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]Todate[/TD]
[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"]2002[/TD]
[TD="align: center"]2002[/TD]
[TD="align: center"]2000[/TD]
[TD="align: center"]2002[/TD]
| CHADEMA | Deputy Secretary General |
| CHADEMA | Secretary Parliamentary Group |
| CHADEMA | Director Foreign Office |
| DARUSO | Secretary General |
| Tanzania Students Networking Programme (TSNP) | Chief Executive Officer |