Jana mlitueleza hapa kwamba ACT-Tanzania ni JIPU LA KWAPA! Ukiinua mkono linauma, ukiteremsha mkono linauma, ukitulia tuli linauma .............. Sasa hizi "mboyoyo" zote za nini?! Kweli MALAYA ni MALAYA tu haachi asili yake! Malaya aliyezoea KUHONGWA pesa (blood money) hawezi kufanya kazi ya halali. CCM wamekutumia kama kondomu sasa kwishney, hawawezi kuendelea kukuhonga pesa za bure tena wakati matumizi yako yamewisha. You wrote your own political obituary Mr. Zitto Zuberi Kabwe.
Samahani sijakuelewa na pia inawezekana wewe hukunielewa.Ngoja nijaribu tena.Mtu huwandika kulingana au kutowa tarifa kufikisha uhuru wa democrasia
Hakuna kiongozi anaeweA kukataza mtu kuwandika habari
Wana cdm hushinda na kuwandika utumbp humu uongo kila siku
Ni uhuru wao wa democrasia
Mimi nilishaifuta cdm kabisa ndani ya moyo wangu siku nyingi
Viva ACT viva
Wana Ukumbi,
Mpaka sasa wanachama wa CHADEMA na Watanzania wengine wenye mapenzi na chama hicho bado hawajawekwa wazi kuhusu kosa ambalo limemfukuzisha Zitto wadhifa wake ndani ya CHADEMA na majaribio kadhaa ya kumuondoa uanachama wake.
Zaidi zaidi wanachama wanasikia tetesi na vijihabari kuwa Zitto ni msaliti wa chama chake, lakini kimantiki hakuna hata chembe ya uthiitisho kuonyesha usaliti wake dhidi ya chake.
Kwa sababu hiyo ya kukosekana uthibitisho juu ya sababu za kutimuliwa kwa ZItto, ililazimu uchunguzi wa ziada ufanywe ili kubaini hasa chuki ya vigogo wa CHADEMA kwa ZItto inasababishwa na nini hasa?
..............................
Kwa ufupi tu ni kwamba, haya machache ndio yanawatia hofu na wasiwasi vigogo wa CHADEMA juu ya hatma yao endapo Zitto akiendelea kubakia CHADEMA. Woga huo wa Mbowe na Dr Slaa ndio umepelekea vigogo hao kumuanzishia visa na mikasa Zitto kwa namna tofauti tofauti ili tu watimize azma yao ya kumuondoa kwenye chama chao.
"Zitto huenda akafutwa CHADEMA. Lakini kamwe hawezi kufutwa mioyoni mwa Watanzania"
Nashangaa unasema Mbowe na Dr Slaa wote kwa pamoja wana chuki na ZZK,Lakini kwenye elimu na mambo mengine mengi unataja Mbowe VS Zitto,kwanini CV ya Dr Slaa inakupa kigugumizi kuiweka?Au unaona itakuumbua?Eti wanamuogopa ZZK kwa elimu!Really?Kama hoja ndiyo hii basi akina Prof Kahigi wangekuwa wameshafukuzwa siku nyingi.All in all ZZK ni zilipendwa,mnamfariji bure lakini hauziki tena,Kilichomuua ni kulewa sifa pamoja na ubinafsi wa kujiona yeye ndiye CHADEMA!Mashabiki uchwara walimponza,POLE SANA ZZK!
Huu ni upuuzi usio na kiwango cha kufananisha. Maneno ni mengi lakini no content.
Zito anakubalika kimataifa, anakubalika katika nini? Kupiga picha na viongozi wa nchi nyingine ndiyo kukubalika? Bush alipokuja hapa alipiga picha na wasichana wa kimasai, kwa hiyo kwa upeo wako mdogo, ndiyo tuseme wasichana wale wanakubalika kimataifa kuliko mtanzania yeyote au kiongozi ambaye hakupiga picha na Rais wa Marekani?
Kuhusu JKT, hivi Zito kushiriki mafunzo ya JK ya wiki mbili ni uzalendo kuwazidi watanzania zaidi ya milioni waliohitimu JK ya mwaka mmoja?
Zito hata kama akipata PhD, atakuwa mtanzania wa kwanza kuipata? Kama una haja sana na PhD, nyingine siku hizi unaweza kuzipata kwa nusu mwaka. PhD ya kweli, angalia mtu anafanya nini, siyo makaratasi anayoshikilia. Hivi PhD ya Kawambwa au uprofesa wa Maghembe unamtofautisha vipi na mawaziri wenzake? Wanachowazidi mawaziri wengine ni wao kutajwa kila mara kuwa ni mawaziri mizigo. Marais wanaoheshimika sana kwa kiwango kikubwa katika mataifa yao ni pamoja na George Washington na Mao. Niambie viongozi hawa walikuwa na elimu gani? Hakuna miongoni mwao ambaye alikuwa hata na diploma lakini ndiyo viongozi walioyabadilisha mataifa yao kwa kiwango cha pekee.
Zito tangu awe mbunge amefanikiwa kitu gani zaidi ya hadithi nyingi zisizo na tija? Alisimamia kule bungeni kuwa mkataba wa Buzwagi ulikuwa na harufu ya rushwa, je, mpaka leo kuna mtu aliwajibishwa au kufunguliwa kesi ya rushwa kuhusiana na mkataba wa Buzwagi? Alisema anawajua walioficha pesa Uswizi, je, amewataja wangapi, na hatua gani zimechukuliwa dhidi ya watu hao?
Zito ni bingwa wa maneno mwenye matendo zero. Ni kwa njia ya maneno aliwaokota wengi wakamwamini, ikiwa ni pamoja na CHADEMA na CCM. CHADEMA walidhani Zito humaanisha anachoongea kumbe ni mtu mnafiki asiye na dhamira ya kweli ya anachokiongea. Zito akawaaminisha CCM kuwa ana uwezo wa kuiua CHADEMA, sasa wametambua kuwa Zito hana uwezo huo.
Ninaamini kabisa kwa dhati ya moyo, chama chochote atakachohamia au yeye Zito akawa kiongozi mkuu, chama hicho hakiwezi kufanikiwa. Mafanikio hutegemea dhamira, kuaminiani, na kukubali kuwa binadamu wote, kila mmoja kuna kitu asichokijua. Zito ni mpenda madaraka, asiyeamini katika teamwork hutaka zaidi kujijenga yeye binafsi kuliko team, hutaka aonekane wakati wote kuwa anajua kuliko wengine, n.k. Tabia hizo, hata siku moja huwa haziwezi kuleta mabadiliko.
Zzk ni kiongozi mwenye staha na hekima na busara!!!
Mtu kama mbowe hana elimu, hana staha wala hekima mbele ya jamii!!!
Hivi kwa maana hiyo jamani kama mbowe angekuwa au akiwa raisi wa nchi hii,kwa mujibu wa maelezo hayo,inamaana huenda tukaweka historia kwamba ndio nchi pekee au miongoni mwa nchi yenye raisi mwenye elimu duni kabisa? ninaomba majibu jamani tafadhali!
Kwani Zito ndo amesoma kuliko watu wote CHADEMA?.Watu mnashindwa kufanya mambo ya msingi mnahangaika kusifu watu!.
namzidi mengi tu ikiwa ni pamoja na kutumia uwezo wangu wote kuzuia ukimwi wakati yeye anau-promote kupitia lile danguro lake pale posta liitwalo bilcanas.Mkuu utakufa masikini kwa kuwaza kichoko..wew mwenye div 1 unamzidi nin mbowe alotaga..?
vijana wa ccm hoja zenu huwa zinanifurahisha sana hamnaga uwezo wa kujenga hoja zenye mashiko yaan nyie ni full pumba, kweli nimeamini mtaji wa ccm ni watu wasio enda shule na kma wameenda basi kwa kununua vyeti au kufoji duu! Tanzania bado inasafari ndefu aisee! Sasa tazama ulie mquote alichoandika halafu linganisha na majibu yako ndio utakapo jiona kumbe wewe ni bora ya mfu.nihayo tu ingawa ukweli huu utakuuma na huenda ukapanic na kuanza kuporomosha matusi.