Wana Ukumbi,
Mpaka sasa wanachama wa CHADEMA na Watanzania wengine wenye mapenzi na chama hicho bado hawajawekwa wazi kuhusu kosa ambalo limemfukuzisha Zitto wadhifa wake ndani ya CHADEMA na majaribio kadhaa ya kumuondoa uanachama wake.
Zaidi zaidi wanachama wanasikia tetesi na vijihabari kuwa Zitto ni msaliti wa chama chake, lakini kimantiki hakuna hata chembe ya uthiitisho kuonyesha usaliti wake dhidi ya chake.
Kwa sababu hiyo ya kukosekana uthibitisho juu ya sababu za kutimuliwa kwa ZItto, ililazimu uchunguzi wa ziada ufanywe ili kubaini hasa chuki ya vigogo wa CHADEMA kwa ZItto inasababishwa na nini hasa?
Baada ya uchunguzi kukamilika, yafuatayo ndio yalibainika kuwasumbua sana viongozi wa CHADEMA na kufanya wakose amani pindi wamuonapo Zitto ndani ya chama chao:
ELIMU
Hapa sitaandika chochote zaidi ya kuambatanisha CV za wanasiasa wawili, yani Mbowe na Zitto. Kwa taarifa ni kwamba, Zitto ana tarajiwa kutunukiwa PhD yake hivi karibuni kwa kuwa tayari amekamilisha tafiti zake. Hongera Zitto. Kwa upande wa Mbowe, huyu aliishia kidato cha sita (6) ingawa HANA cheti cha kuhitimu, kwa maana alipata daraja sifuri (0).
| |
| Salutation | Honourable |
| First Name: | Kabwe |
| Middle Name: | Zuberi |
| Last Name: | Zitto |
| |
| Constituent: | Kigoma Kaskazini |
| Political Party: | CHADEMA |
| Office Location: | P.O.Box 325, Kigoma |
| Office Phone: | +255 713 730 256 |
| Ext.: | |
| Office Fax: | +255 22 2112538 |
| Office E-mail: | kzitto@parliament.go.tz |
| Member Status: | Current Member |
| Date of Birth | 24 September 1976 |
[TH="colspan: 3, align: left"]
GENERAL
[/TH]
[TD="align: center"]
Member picture
[/TD]
[TD="width: 20%"]
Member Type:
[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
| |
| School Name/Location | Course/Degree/Award |
|---|
| Bucerius Law School, Germany | |
| University of Dar es Salaam | |
| Inwent -IHK, Bonn, Federal Republic of Germany | |
| Galanos Secondary School | |
| Tosamaganga Secondary School | |
| Kigoma Secondary School | |
| Kibohehe Secondary School | |
| Kigoma Primary School | |
[TH="colspan: 5, align: left"]
EDUCATION
[/TH]
[TH="width: 15%, align: center"]
Start Date
[/TH]
[TH="width: 13%, align: center"]
End Date
[/TH]
[TH="width: 10%, align: center"]
Level
[/TH]
[TD="align: center"]MLB[/TD]
[TD="align: center"]2009[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]MASTERS DEGREE[/TD]
[TD="align: center"]BA (Economics )[/TD]
[TD="align: center"]1999[/TD]
[TD="align: center"]2003[/TD]
[TD="align: center"]GRADUATE[/TD]
[TD="align: center"]Advanced Training on International Marketing[/TD]
[TD="align: center"]2003[/TD]
[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]ADV DIPLOMA[/TD]
[TD="align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1996[/TD]
[TD="align: center"]1996[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]
[TD="align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1997[/TD]
[TD="align: center"]1998[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]1995[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
kaka nikweli unampenda zitto na hiyo ni haki yako.lakini promo yako kwake haina mashiko,maana kama ni elimu mbona hiyo ni ya kawaida tu hapa tanzania kwa sasa?mi ni lidhani unataka kupangua zile tuhuma za kutumiwa na ccm kwa hoja hapa,maana rufaa aliyokuwa anaitaka kwenye baraza kuu la chama ameruhusiwa mbona hakati?muhtasari wa tuhuma zake kapewa mbona hajakana