Chuki hii ya kisiasa faida yake nini?

Chuki hii ya kisiasa faida yake nini?

Hapa nimejifunza kuwa serekari ndio inatakiwa kuwa mfano ktk jamii.
Ukisoma coment nyingi watu wabeza kuchangia wakihofia matumizi ya michango yao ingawa serekari hausiki yaani michango ya kagera(matumizi ya michango) yameathiri hadi michango ktk jamii.
Najiuliza kama wananchi wamefikia hali hiyo je wahisani watakuwa na hali gani kama kwa bahati mbaya ikitokea maafa kitaifa?
Inafaa mazingatio ktk hili
Huwa nawaza out loud!?
Hivi leo ilitokea nchi jirani inavamia tz itakuwaje?? Miaka ya vita ya kagera na Idd amini tunaambiwa watz walijitoa kwa hali na mali kulinda na kutetea nchi yao, leo hii yakitokea hayo nanicatakuwa tayari hata kuchangia maji ya kunywA wapiganaji wetu kwa mgawanyiko huu tulionao??
Je, bado kutakuwa na mgambo wa kujitile Kama tunavyoambiwa ilikuwa miaka ile??
Tz imesambaratika mno sasa hivi, hasa baada ya ccm kubaka demicrasia na haki za vyama vya siasa. Sasa hivi kuna ukanda na uvyama. Watu hawako tena pamoja kama nchi,yote kisa ccm.
 
Na hii
Hapa somo litakuwa kubwa kiasi kwamba lazima nitashindwa kukuelewesha. Labda ni elezee kwa kifupi na kwa michoro nawe utumie akili yako kunielewa.

Ubepari, mtu binafsi kumiliki njia kuu za uzalishaji mali aka ubinafsi (kinyume na umma kumiliki kwa pamoja). Ukoloni mamboleo kuendelea kuitawala dunia)>demokrasia njia ya kiistaarabu ya kumweka yeyote mwenye maslahi na kumtoa yeyote aliye kinyume, demokrasia ikazaa vyama vingi.

Kama umenielewa ntashukuru, NB: hapa naizungumzia western democracy. Demokrasia ya kweli,inaweza ikastawi hata ndani ya mfumo wa chama kimoja tu.[/QUOTE
Na hio werstern demicrasia ndio majority ya watz wanaitaka. Sii hii ya ccm kung'ang'ania wao halafu wakitaka watu waamini hio ndo democrasia. Hatukupendi ama hatukutaki, toka tuweke mwingine sio utuwekee wa kwako. Hio ndio democrasia. Ujecha hatuutaki.
 
Nao
Mchango wangu sitoi.Maafa kagera mmekula na hapa napo mnataka kula. Halafu huyu jamaa alimtukana sana Lowasa kipindi cha uhai wake mpaka kumtabiria kifo. Nazidi kusisitiza hapa duniani sote tunapita,mnaodhani mpo kwenye madaraka leo na mnatumia mwanya huo kunyanyasa watu Mungu pekee ndie atawalipa.
Nipo naandaa orodha kamili ya wanaccm waliosema lowasa ni mgonjwa na atakufa. Mojawapo ni huyu mhuni aliyefariki wengine ni Samuel Sitta na kapt Komba......
 
Kwanza inaonekana kuna watu (UKAWA) walivamia shughuli isiyowahusu. Nilichoona hapo watu walikuwa wanapeana taarifa wao kama wao, ila UKAWA kwa stress zao wakaamua kuingilia kujifanya wao ndio mabingwa wa chuki.

Kwa kifupi CCM haiwezi kuwabadilisha mioyo yenu UKAWA, endeleeni na chuki zenu tuone kama ndio zitawafanya muingie IKULU. hiyo ishu ilikuwa ni ya vijana na watu wa CCM, kiherehere cha UKAWA kwenda kwenye jambo lisilo la kwenu.

Kule Zanzibar, CCM walialika mpaka viongozi wenu, matokeo yake hata kushikwa mikono tuu mkasusa. sasa watu kama nyie tutawabadili vipi.?

ENDELEENI NA CHUKI ZENU, KODI MTALIPA, NCHI ITASONGA NA MAANDAMANO MWIKO. mtakula mkong'oto.
We mbwa. Endelea kukurupuka km kiongozi wako wa mihemko na ubabe.......Huwezi kufanikiwa kuongoza nchi kwa kutumia vyombo vya dola
 
Kama ingetumika kwa maslahi mapana ya mataifa yetu, huu ungekuwa ni mfumo mzuri. Lakini ukweli hauko hivyo. Kuna ka stori kaliletwa humu kulihusu taifa la Irani na mgogoro wake wa mafuta na uingereza.

Ujinga wa hawa western, demokrasia kwao ndo silaha yao ya kiustarabu ktk kutimiza ukoloni wao mamboleo. Ndo mana wenye hekima na mataifa yenye akili huikacha hii. Si kwamba hawawapendi wananchi wao na haki zao, ila wamezibaini hila zao.

Kwani kulikuwa na mantiki ipi wao kuwa na kula zingine za kumpitisha raisi kinyume na kura za umma, mfano USA mababa wa demokrasia? Akna Nyerere, China, Cuba, North Korea nk si wajinga wale.

Ulishawahi kujiuliza kwanini nchi za magharibi zinafadhili vyama vya upinzani kuliko kututatulia umaskini wetu? Kwanini kila NGO ifadhiliwayo na hayo mataifa, sharti isimamie demokrasia, hata ikijikita ktk umasikinije kama haifadhili haki na demokrasia ufadhili unakufa? La mwisho, kwani wa Libya kwa wingi wao walishamchoka Gaddafi na kuziomba nchi hizo zije kuwasaidia kumtoa?

Hii dunia ngumu sana, Vita ni nyingi na silaha zitumikazo ni zenye utata, akili tu ndo ufumbuzi wala si kufata mkumbo.
 
Kwanza inaonekana kuna watu (UKAWA) walivamia shughuli isiyowahusu. Nilichoona hapo watu walikuwa wanapeana taarifa wao kama wao, ila UKAWA kwa stress zao wakaamua kuingilia kujifanya wao ndio mabingwa wa chuki.

Kwa kifupi CCM haiwezi kuwabadilisha mioyo yenu UKAWA, endeleeni na chuki zenu tuone kama ndio zitawafanya muingie IKULU. hiyo ishu ilikuwa ni ya vijana na watu wa CCM, kiherehere cha UKAWA kwenda kwenye jambo lisilo la kwenu.

Kule Zanzibar, CCM walialika mpaka viongozi wenu, matokeo yake hata kushikwa mikono tuu mkasusa. sasa watu kama nyie tutawabadili vipi.?

ENDELEENI NA CHUKI ZENU, KODI MTALIPA, NCHI ITASONGA NA MAANDAMANO MWIKO. mtakula mkong'oto.
Ndio ufikiri wako ulipoishia
 
Pole sana, kwa hiyo wewe maombi yako unadhani yana nguvu kutuzidi sisi tuliokesha uwanja wa taifa usiku wa mkesha mwaka mpya kuiombea nchi na rais wetu aman na afya njema.? haya endelea kuomba mkuu.

ila usijidanganye wewe ndio unaomba peke yako, na sisi huku tunakesha kumuombea JPM afya njema, wenye roho mbaya mtakoma.
Nyie mnakesha kumuombea lowasa afe lkn mnakufaa nyie. Sisi tunakesha kumuombea lowasa aishi awe kiongozi wetu. Mnayemuombea nyie asife anaongoza kwa mkono wa chuma kwa kuvunja katiba aliyoapa kuilinda
 
Nyie mnakesha kumuombea lowasa afe lkn mnakufaa nyie. Sisi tunakesha kumuombea lowasa aishi awe kiongozi wetu. Mnayemuombea nyie asife anaongoza kwa mkono wa chuma kwa kuvunja katiba aliyoapa kuilinda

Si ndio vizuri au.? sisi wote tutakufa halafu tutawaachia nyie nchi ili mtawale vizuri sasa au hupendi mkuu. acha sie tufe ili muingie ikulu kiulaini, maana kama sisi tupo hai, nyie Ikulu mtaendelea kuiona kwa mbaaaaaaaaali. acha sie tufe, ili nyie muishi milele.
 
Ushahidi ni huu,
Fedha zinazojenga huo uwanja zimepitishwa na bunge lipi??
Mla rambirambi mwisho wake in mbaya!

Kwani fedha zinazorepair uwanja wa dsm na songwe na arusha umepitishwa na bunge lipi.
 
Back
Top Bottom