Chuki hii ya kisiasa faida yake nini?

Chuki hii ya kisiasa faida yake nini?

Kwanza inaonekana kuna watu (UKAWA) walivamia shughuli isiyowahusu. Nilichoona hapo watu walikuwa wanapeana taarifa wao kama wao, ila UKAWA kwa stress zao wakaamua kuingilia kujifanya wao ndio mabingwa wa chuki.

Kwa kifupi CCM haiwezi kuwabadilisha mioyo yenu UKAWA, endeleeni na chuki zenu tuone kama ndio zitawafanya muingie IKULU. hiyo ishu ilikuwa ni ya vijana na watu wa CCM, kiherehere cha UKAWA kwenda kwenye jambo lisilo la kwenu.

Kule Zanzibar, CCM walialika mpaka viongozi wenu, matokeo yake hata kushikwa mikono tuu mkasusa. sasa watu kama nyie tutawabadili vipi.?

ENDELEENI NA CHUKI ZENU, KODI MTALIPA, NCHI ITASONGA NA MAANDAMANO MWIKO. mtakula mkong'oto.
Na mukifa mutazikana na makaburi watachimba watoa mikongoto na rambirambi pole na faraja mutapewa na wapokea kodi na mwishowe ibada au dua za kuombea marehemu watafanya walioko ikwulu.
 
Kuna siku niliandika andiko humu kuhusu kauli zilizotamkwa na makada nguli wa CCM wakati wa uchaguzi na baada ya uchaguzi kua ni kauli mbaya ,chonganishi na zinazo hatarisha umoja wetu lakini mwisho wa yote vijana wenzangu walumumba walimwaga nao matusi.Hizi kauli naomba nizirudie tena na majina ya watu waliozitamka
1.Benjamin William Mkapa ...Wapinzani ni wapumbavu na malofa...alirudia tena kwa msisitizo mara mbili na viongozi na wanaccm tukashangiria
2.Waendesha boda boda ni Kunguni na wajinga..huyu ni Mh. Kagasheki ingawa nasisi tulimlipa kwakupiga kampeini aondoke ata kama ni mwanaccm
3.John Pombe Joseph Magufuli...alisema hivi...siwezi kushirikiana na wapinzani kwenye serikali yangu siku akihutubia Zanzibar na kukazia kwa kisukuma...bagosha...cha ajabu watu walipiga vigelegele na kumuona shujaa...sasa msishangae haya wakati viongozi wa juu ndio founder wa haya mambo..
Leo kuna watu walijisikia nafuu baada ya watu kama Kombani,Six na Mtikila DP kuacha Dunia kwasababu ya midomo yao
Sitaki unafiki
Mie binafsi nilifurahishwa sana na kifo cha mzee sitta....mungu anipe uhai nitafurahia sana pia akifariki mwingine.....

Inafika pahali watu wanatuudhi na kutukera mpaka dua sala na maombi kwa MUNGU haviishi bila kumwombea mtesi wako aondoke duniani I'll japo kidogo tupate faraja ya roho na mwili.
 
Ni wakati muafaka wa Watanzania wote kuwa wakweli, kuondoa hofu na kuambizana ukweli kwa yale tunayoyafanya ili tusizidi kupotea. Hapa nina imani viongozi wa dini na viongozi wengine katika jamii waiseme kweli, tena kweli kwelikweli. Mtu anapopotoka aambiwe ukweli ili abadilike. Baadaye tutakuja kuwauliza mliliona jambo na hamkufanya juhudi za kurekebisha isitokee rabsha lakini mkawa kimya! Hatujachelewa. Wakati ni sasa!
Mie ni mkristo mkatoliki na muumini wa dini na imani yangu...ila hapa kwa hawa viongozi wa dini type ya kiongozi wangu pengo naomba usahau hiyo kitu....

masheikh type ya sheikh mkuu wa dsm nalo ni janga la kitaifa kama pengo....

KIFUPI HAKUNA KIONGOZI WA DINI MWENYE KIFUA HICHO CHA KUMWAMBIA HERODE UMEKOSEA...MAANA HERODE HUYU ATAWAKATA VICHWA KAMA ALIVYOMKATA YOHANE MBATIZAJI...

viongozi wa dini wa Tanzania ya sasa ni kama mbwa koko...wameufyata mkia.
 
"Nenda ukawe kuni za wana ccm wenzako huko jehanam pumbaf!" Kuna mtu kacomment kwenye page ya Marehem Uko FB. Chuki iliyopo dhidi ya ccm ni kubwa na pia ugumu wa maisha ndio unazidi kuchochea chuki zaidi
 
Kuna chuki kubwa kuliko ile ya ukabila tunayojengewa sasa hivi?
Pesa za msaada wa maafa zinajengea uwanja wa ndege na kuwaacha wahanga wakizidi kutaabika?
Hii dhambi itawatafuna wahusika wa hii dhuluma milele.
Hivi ukiombwa ushahidi wa hayo uliyo yaandika utatoa? Nyie ndio mnafanya Max aonekane anaficha wahalifu...
 
Kwenye watu wastaarabu nilitegemea kua baada ya uchaguzi kuwepo UPONYAJI WA VIDONDA NA MAUMIVU YA UCHAGUZI [Healing the Wounds after Election] kati yetu watanzania kupitia vyama vya siasa,dini na mashirika yasiyo ya kiserikali lkn ilikua tofauti sana maana kilichotokea ni kuongeza chumvi kwenye vidonda jambo ambalo linaongeza maumivu mpaka leo.
Rais John Pombe Magufuli bila shaka utakua unapita mitandaoni kuona jinsi wananchi wengine wanavyochukulia haya mambo.Kumbuka tunaoweza kuandika kwenye mitandao tuko wachache lakini tunawakirisha kundi kubwa la watanzania.
Mh. Jakaya Kikwete nawe si vibaya ukibeba mzigo wa kushauri na kushawishi uongonzi wa sasa maana ata wakati wako yapo mengi yaliyotuumiza lakini uliweza kuturudisha sehem na tukajiona sote wamoja kama watanzania nakuomba utumia ujanja na weledi wako katika siasa za diplomasia.
Sitaki Unafiki
Unasemaje?....
jk amshauri nani? Dr wa kemikali?

Kwan jk ni Dr...au hujui Dr anashauriwa na ma Dr wenzao au ma porofesa?
me nani kakudanganya viongozi wa Africa wanashauriwaga?

Hau hukusikia zile figisu as ex festi ledi na mukulu kumwamo?
acha mambo yako kama...angekuwa anajua kitu nchi ingejaa mambo ya hovyohovyo tuu....miaka miwili inaisha Dr anasafisha uchafu wake na kumchelewesha kupata viwanda. ...

hebu soma mambo ya nyakati kabla ya kushauri au kuandika.
 
Huwaga namuombea ila LAITI ANGEJUA HUWA NAOMBEA UTABIRI NA UNABII WE LEMA UTIMIE HARAKA IWEZEKANAVYO sijui kama angeendelea kusema tumwombee.

Na kesho naenda church...maombi ni yaleyale...BIOLOGICAL RETIREMENT...MUNGU atende kwa haraka.
hahahahaha unapoteza muda...du la kuku na bado... who cares?
 
Tatizo lenu UKAWA huwa mnataka kuelezwa vitu, wakati tayari mna majibu yenu vichwani.

Wewe umemtaja Mbowe kwenye post yako, sasa ulitaka nikujibu na la nani mwingine.? ulitaka niingie akilini mwako nijue na vingine unavyowaza.?

Ishu ya Ben mpaka kiongozi wenu kubenea keshawaambia wapi alipo yule bw mdogo, sasa wewe badala ya kumuuliza kiongozi wako kubenea, unaniuliza tena mimi.


watu kama nyie ndio mtakuja kuta watu wamekunya kwenye makaburi yenu!
 
Pole sana, kwa hiyo wewe maombi yako unadhani yana nguvu kutuzidi sisi tuliokesha uwanja wa taifa usiku wa mkesha mwaka mpya kuiombea nchi na rais wetu aman na afya njema.? haya endelea kuomba mkuu.

ila usijidanganye wewe ndio unaomba peke yako, na sisi huku tunakesha kumuombea JPM afya njema, wenye roho mbaya mtakoma.


angalia comment hapo kwenye hiyo link ndo utajua kama mko wengi au vipi!
 
Kuna chuki kubwa kuliko ile ya ukabila tunayojengewa sasa hivi?
Pesa za msaada wa maafa zinajengea uwanja wa ndege na kuwaacha wahanga wakizidi kutaabika?
Hii dhambi itawatafuna wahusika wa hii dhuluma milele.

Hakuna ushahidi wa hili jambo, na wewe unachukua unasambaza vivyo hivyo, lengo lako?
 
angalia comment hapo kwenye hiyo link ndo utajua kama mko wengi au vipi!

Dah.! nilikuwa sijajua kama nafanya mjadala na mna mtoto kama wewe, anyways, wacha nikukuze pengine utakuja kuelewa.

Nimekuambia kuhusu watu tuliokesha uwanja wa UHURU kuiombea nchi na kumuombea rais wetu, wakristo kwa waislamu. wewe umekomaa na watu wachache wanao post humu. Kwa taarifa yako humu tunajua huwa ni watu wa CDM na UKAWA ndio huwa wanakuja kupoza machungu yao kisaikolojia. sisi wa CCM tuliomo humu huwa tunapenda kuwafuatilia ndugu zetu wa CDM ili kuona hali zao kisaikolojia zinaendeleaje.

Maana tunajua CDM siku zote ni watu wanaougua kulialia na kunung'unika utadhani watoto wa kambo. kila linalofanywa na CCM kwao ni baya.
 
Kwa akili zenu za kigamba mnategemea kama Zenji mccem apendwe na mnaowapora ushindi kila mara???
 
kuna muda nilikuwa nawaza:hivi Magufuli akiteua ata wapinzani wawili,wa chadema na cuf,na akawapa uenyekiti wa bodi "uchwara" kama bodi ya maziwa,sukari au asali,si atakuwa ameponyesha vidonda vingi!?
Ile dhana ya "wao" na "sisi" si at least itakosa makali au itakufa kabisa?
Hivi Magufuli alishindwa ata kuteua wapinzani ata wawili kuwa wabunge!?
Kama hiyo ni ngumu,basi angewasemea kwa kauli nzuri!
Kauli kama ile ya Kinyerezi II haikuwa nzuri!
Sio kama sijayaona mapungufu ya Upinzani,la hasha!
CCM na Magufuli ni kama Baba yetu,na utuuzima dawa!
Utuuzima Jalala!
Mbona JK Alijitahidi?Kwanini Magufuli Asijaribu!?
Hapo tu ndo ninapoona mfumo wa vyama vingi hautufai, unajenga chuki za kijinga na utengano wa kipuuzi ktk nchi moja tuijengayo.

Akna Dr Slaa, Lipumba, Mkuu Mbatia, nchi inafaidikaje nawo kwa utayari wao wa kulihudumia taifa, elimu zao na uelewa wao wa mambo. Mi bunge lililopita, sikuwa namuona mbunge smart ka mbatia, uwaziri ungemfaa sana. Tunalipeleka wapi taifa hili.
 
Nikikumbuka tetemeko la kagera watu wanavyolala nje naishiwa pozi kabisa...you reap what you sow,mmeyataka wenyewe,watz wa leo sio maboya na sio waoga.
 
Hapo tu ndo ninapoona mfumo wa vyama vingi hautufai, unajenga chuki za kijinga na utengano wa kipuuzi ktk nchi moja tuijengayo.

Akna Dr Slaa, Lipumba, Mkuu Mbatia, nchi inafaidikaje nawo kwa utayari wao wa kulihudumia taifa, elimu zao na uelewa wao wa mambo. Mi bunge lililopita, sikuwa namuona mbunge smart ka mbatia, uwaziri ungemfaa sana. Tunalipeleka wapi taifa hili.
Umeongea pumba totally and completely
 
Walipofanyiwa wana Kagera mlifurahi sana.

Aliyeasisi chuki hii anafahamika.
Samahani mods kama nitakera kwa kuweka hii link!(someni comments):



Ila hii ndio hali halisi uko nje na mitandaoni!

Naiomba serikali na vyama vyetu waangalie hili before it is too late!
 
Back
Top Bottom