"Nenda ukawe kuni za wana ccm wenzako huko jehanam pumbaf!" Kuna mtu kacomment kwenye page ya Marehem Uko FB. Chuki iliyopo dhidi ya ccm ni kubwa na pia ugumu wa maisha ndio unazidi kuchochea chuki zaidi
Hapa somo litakuwa kubwa kiasi kwamba lazima nitashindwa kukuelewesha. Labda ni elezee kwa kifupi na kwa michoro nawe utumie akili yako kunielewa.Mabaya yote uliyoyasema hayajapetwa na mfumo Wa vyama vingi.Yameletwa na ubinafsi Wa wachache miongoni mwetu wanaotumia mgongo Wa vyama kubaki au kushika madaraka bila kujua kwamba sifa ya kwanza ya kuwa kiongozi nchi hii ni kuwa MTANZANIA.
Kaka hata ushoga nchini na kutambuliwa kwao kisheria, ni zao la western democracy, watu walizipigania hizi waziitazo haki za binadamu ziingizwe kwenye katiba.Mabaya yote uliyoyasema hayajapetwa na mfumo Wa vyama vingi.Yameletwa na ubinafsi Wa wachache miongoni mwetu wanaotumia mgongo Wa vyama kubaki au kushika madaraka bila kujua kwamba sifa ya kwanza ya kuwa kiongozi nchi hii ni kuwa MTANZANIA.
Mungu atende muujiza kwa kweli!Huwaga namuombea ila LAITI ANGEJUA HUWA NAOMBEA UTABIRI NA UNABII WE LEMA UTIMIE HARAKA IWEZEKANAVYO sijui kama angeendelea kusema tumwombee.
Na kesho naenda church...maombi ni yaleyale...BIOLOGICAL RETIREMENT...MUNGU atende kwa haraka.
Mimi hawa kijani huwa nawachukulia Kama mizoga tuu!Na kumteka Rose kamili Uchaguzi wa kalenga,kumpiga na kumuumiza lazima mumteke kwa sababu alitaka mshindwe,kumuua mawazo hadharani ilikuwa lazima mumuue sababu alitaka mshindwe,NYIE MB.WA IPO SIKU YENU.
Ameeni.Mie binafsi nilifurahishwa sana na kifo cha mzee sitta....mungu anipe uhai nitafurahia sana pia akifariki mwingine.....
Inafika pahali watu wanatuudhi na kutukera mpaka dua sala na maombi kwa MUNGU haviishi bila kumwombea mtesi wako aondoke duniani I'll japo kidogo tupate faraja ya roho na mwili.
Ushahidi ni huu,Hakuna ushahidi wa hili jambo, na wewe unachukua unasambaza vivyo hivyo, lengo lako?
Kwa uwezo wako wa kuelewa, kutafsiri na kupambanua mambo, inawezekana mkuu.Umeongea pumba totally and completely
Salute Madam Nifah!Kuna chuki kubwa kuliko ile ya ukabila tunayojengewa sasa hivi?
Pesa za msaada wa maafa zinajengea uwanja wa ndege na kuwaacha wahanga wakizidi kutaabika?
Hii dhambi itawatafuna wahusika wa hii dhuluma milele.
Uliwahi gegedwa mkuuKuna chuki kubwa kuliko ile ya ukabila tunayojengewa sasa hivi?
Pesa za msaada wa maafa zinajengea uwanja wa ndege na kuwaacha wahanga wakizidi kutaabika?
Hii dhambi itawatafuna wahusika wa hii dhuluma milele.
Hizi nadhani ni rangi tu, watanzania wote kwa sasa tuna matamanio na matarajio sawa na yote hayo yamejengwa kwenye ubinafsi tu. Sitarajii badiliko lolote lenye maana baada ya chama chochote, chenye rangi yoyote kikitawala.Mimi hawa kijani huwa nawachukulia Kama mizoga tuu!
Bora wewe unawaona Kama mbwa!
Acha ujingaUliwahi gegedwa mkuu
Tutarudi vipi wakati CCM ndio mmeharibu misingi ya Azimio la ArushaMwalimu aliifanya Tanzania ni nchi ya makimbilio, kisiwa cha amani na utulivu, Mwalimu aliwaunganisha watanganyika wote na kuwa kitu kimoja, aliondoa udini na ukabila kwa kuipenda nchi yake na watu wake,
Mwalimu hakuwa mtu wa majivuno km viongozi wetu wa leo, alikuwa kipenzi cha watu, alipenda watu wote, alikataa kuitwa mheshimiwa au mtukufu alipendekeza aitwe ndugu, alijihesabu kuwa yuko sawa na binadamu wengin, alikuwa mpenda haki, mtetezi wa wanyonge kama ilivyokuwa kwa Yesu na baadhi ya Manabii na Mitume tunaowasoma ktk vitabu vya dini
Kurudi tena kwenye ile Tanzania ya Mwalimu na Karume, ni ndoto kwa sababu ya ubinafsi wa viongozi wetu wa leo, mioyo yao imejaa chuki, wanajipenda wao wenyewe na familia zao, hii dhambi itawatafuna sana, labda Mwalimu azaliwe upya,
Kuna nyakati unaandika kwa akili sana.. Hongera mkiacha ushabiki tuu mnaweza andika ya maanaviongoz wangu wa chama cha mapinduzi wajitafakari
waangalie ni wapi walikosea, wawaunganishe watanzania
wasijione wao ndio wao, bado tupo duniani
ccm wakifa mimj siwezi kulia, nitawafukia shimoni wawe chakula cha udongo.Kuna mtu kacoment kuwa atafurahi ccm wakifa wote.
Ukitafakari uzito wa kauli hiyo ndio utajua kuwa tunapoenda ni pabaya