Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,258
- 103,671
Mkuu wangu, maneno yako haujapepesa kope! Yaani hii ni mumo kwa pale. Wasome, watafakari, wachukue hatua na kutenda yaliyo haki bila kumpendeza kinafiki huyo "Herode"!Mie ni mkristo mkatoliki na muumini wa dini na imani yangu...ila hapa kwa hawa viongozi wa dini type ya kiongozi wangu pengo naomba usahau hiyo kitu....
masheikh type ya sheikh mkuu wa dsm nalo ni janga la kitaifa kama pengo....
KIFUPI HAKUNA KIONGOZI WA DINI MWENYE KIFUA HICHO CHA KUMWAMBIA HERODE UMEKOSEA...MAANA HERODE HUYU ATAWAKATA VICHWA KAMA ALIVYOMKATA YOHANE MBATIZAJI...
viongozi wa dini wa Tanzania ya sasa ni kama mbwa koko...wameufyata mkia.