habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,788
- 8,755
Mwalimu aliifanya Tanzania ni nchi ya makimbilio, kisiwa cha amani na utulivu, Mwalimu aliwaunganisha watanganyika wote na kuwa kitu kimoja, aliondoa udini na ukabila kwa kuipenda nchi yake na watu wake,
Mwalimu hakuwa mtu wa majivuno km viongozi wetu wa leo, alikuwa kipenzi cha watu, alipenda watu wote, alikataa kuitwa mheshimiwa au mtukufu alipendekeza aitwe ndugu, alijihesabu kuwa yuko sawa na binadamu wengin, alikuwa mpenda haki, mtetezi wa wanyonge kama ilivyokuwa kwa Yesu na baadhi ya Manabii na Mitume tunaowasoma ktk vitabu vya dini
Kurudi tena kwenye ile Tanzania ya Mwalimu na Karume, ni ndoto kwa sababu ya ubinafsi wa viongozi wetu wa leo, mioyo yao imejaa chuki, wanajipenda wao wenyewe na familia zao, hii dhambi itawatafuna sana, labda Mwalimu azaliwe upya,