ChamaDola
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 3,431
- 2,804
- Thread starter
- #41
ukitaka kuona ujinga wa hizi,we subiri mtu wa ccm afe,kitu cha kwanza watu wataanza kuhoji kama alimtukana fulani!viongoz wangu wa chama cha mapinduzi wajitafakari
waangalie ni wapi walikosea, wawaunganishe watanzania
wasijione wao ndio wao, bado tupo duniani
Imefikia kipindi wana ccm tunaogopa vifo!vifo hivi vinafanya tunaogopa kusutwa!
Badala ya misiba kuwa muda wa faraja,kwetu wana ccm umekuwa muda wa kujikinga na mashumbulizi kutoka kwa wale tuliowatukana 2015!
Najua viongozi wetu wanaweza jihisi salama kwa kuwa vyombo vya dola vipo kuwalinda!
Ila kwa sie wa chini,tunakazi!