Chuki hii ya kisiasa faida yake nini?

ChamaDola

JF-Expert Member
Dec 23, 2016
3,431
2,804
Samahani mods kama nitakera kwa kuweka hii link!(someni comments):

Ila hii ndio hali halisi uko nje na mitandaoni!

Naiomba serikali na vyama vyetu waangalie hili before it is too late!
 
Ebu angalia hizi comments!

Kuna usalama hapa kweli uko mbeleni!?
 
" Ikifa ccm tutatoa rambirrambi kwa mtu ng,o mzire au matumizi ya wake zenu"
HII KOMENTI IMENICHEKESHA SANA
 
Hatujafika kwa bahati mbaya tunavuna tulichopanda. CCM mlipanda sana hii Mbegu ya Chuki kile kipindi cha Uchaguzi sasa ndio mavuno yake.

Usitegemee watu wakakunenea mazuri kama ulipanda mabaya.

Mlitengeneza hadi Pad kwa ajili ya Mgombea fulani ila hamkujua Chuki mnayoipandikiza italeta matokeo gani huko mbeleni, acha iwatafune sasa.
 
Samahani mods kama nitakera kwa kuweka hii link!:

Ila hii ndio hali halisi uko nje na mitandaoni!
Naiomba serikali na vyama vyetu waangalie hili before it is too late!

Duh nimepitia hyo link asee nmesikitishwa kuona kuna mgawanyiko mkubwa sana wa kisiasa hadi kwenye msiba wa mtu.... ila na sisi tulio hai bado tujifunze kuishi na watu vzuri sasa inaonekana marehemu kaondoka na sifa mbaya za kutukana viongozi wa upinzani hadi kuwatabiria wengine vifo hili ni funzo pia kuwa utapanda ulichovuna ukifika kwa Allah maana duniani ni mapito tu so tukiwekeza kwenye miili tukasahau kuna maisha baada ya kifo haya ndio hutokea mwishoni otherwise R.I.P marehemu.
 
Halafu tulikofika ndio kubaya zaidi:kwamba utasaidiwa na ccm wenzio au chadema wenzio!
Hii sio afya kwa taifa!
 
Ninmeona, ni hatari. Unaona kabisa kuwa chuki among us and division along the lines of political affiliation inaanza kuwa deep rooted. Mkulu anadhani ataikomesha kwa risasi za polisi. Time will tell
kuna haja ya upatanisho!
 
Back
Top Bottom