Ndalama
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 8,787
- 6,543
Uharibu na chamaDola then uombe upatanisho?[emoji3][emoji3]kuna haja ya upatanisho!
Uharibu na chamaDola then uombe upatanisho?[emoji3][emoji3]kuna haja ya upatanisho!
Pua zimekutanuka ghafla mkuu....Mkuu, kwa kifupi ni kwamba, huwezi kumbembeleza mtu ambaye hayuko tayari. Kama inafikia sehemu tunawaalika kwenye sgughuli za kitaifa mnasusia, mnataka nini zaidi ya hapo.? CCM haiwezi poteza muda kuwabembeleza UKAWA bana, acheni kujidanganya.
Nnachosubiri siku Watanzania likitutokea janga jingine sijui tutakuwa wageni wa nani.Hapa nimejifunza kuwa serekari ndio inatakiwa kuwa mfano ktk jamii.
Ukisoma coment nyingi watu wabeza kuchangia wakihofia matumizi ya michango yao ingawa serekari hausiki yaani michango ya kagera(matumizi ya michango) yameathiri hadi michango ktk jamii.
Najiuliza kama wananchi wamefikia hali hiyo je wahisani watakuwa na hali gani kama kwa bahati mbaya ikitokea maafa kitaifa?
Inafaa mazingatio ktk hili
Mkuu, kuna wachache wameuona ukweli na wanataka kuuishi ukweli. Ni lazima upatanisho ufanyike gradually! Chamadola ni wa kumpongeza kwa uono wake jalili. Sasa basi watu wasiwe corrupted na ushabiki wa vyama. Turudie njia zetu za upendo na amani mkuu.Uharibu na chamaDola then uombe upatanisho?[emoji3][emoji3]
Chama dola ndy sababu ya yote hayo, waambie wapenzi wakoTunakokwenda siko hata kidogo!
Ukiangalia wanaccm mnavyoongelea ishu ya Ben,watu wa mto Ruvu,mzee Lowasa,ishu ya Mbowe Billcanass,Ishu ya Lema utagundua chuki inatoka wapi,kiukweli mimi akifa mwanaccm huwa naona Sawa tu,NNA CHUKI YA KUTISHA DHIDI YENU,AND I DONT CARE ANY MORE.
Pua zimekutanuka ghafla mkuu....
Una uthibitisho kuhusu Ben?Mkuu, ishu ya Ben CCM ilikuwa lazima tuongee kwa sababu CDM wamefanya ujinga halafu wanataka kuihusisha serikali.
Ishu ya Mbowe CCM ilikuwa ni lazima tuizungumze kwa sababu Mbowe alifanya uhuni wa kukwepa kodi jambo ambalo ni baya sana.
Mzee Lowasa lazima tutaendelea kumzungumza kwa sababu huyu ni wetu kabisa tumemkuza na amezeekea kwetu.
Lema lazima tumchane tena kiroho mbaya kwa sababu alitaka kutuletea mauzauza kwenye uhai wa rais wetu tegemeo letu.
Ile miili ya watu, serikali ilitimiza wajibu wake, tatizo UKAWA mlitaka kuligeuza liwe la kisiasa
Ati nini,? Za maafa zinajenga uwanja?Kuna chuki kubwa kuliko ile ya ukabila tunayojengewa sasa hivi?
Pesa za msaada wa maafa zinajengea uwanja wa ndege na kuwaacha wahanga wakizidi kutaabika?
Hii dhambi itawatafuna wahusika wa hii dhuluma milele.
kuna muda nilikuwa nawaza:hivi Magufuli akiteua ata wapinzani wawili,wa chadema na cuf,na akawapa uenyekiti wa bodi "uchwara" kama bodi ya maziwa,sukari au asali,si atakuwa ameponyesha vidonda vingi!?Kwenye watu wastaarabu nilitegemea kua baada ya uchaguzi kuwepo UPONYAJI WA VIDONDA NA MAUMIVU YA UCHAGUZI [Healing the Wounds after Election] kati yetu watanzania kupitia vyama vya siasa,dini na mashirika yasiyo ya kiserikali lkn ilikua tofauti sana maana kilichotokea ni kuongeza chumvi kwenye vidonda jambo ambalo linaongeza maumivu mpaka leo.
Rais John Pombe Magufuli bila shaka utakua unapita mitandaoni kuona jinsi wananchi wengine wanavyochukulia haya mambo.Kumbuka tunaoweza kuandika kwenye mitandao tuko wachache lakini tunawakirisha kundi kubwa la watanzania.
Mh. Jakaya Kikwete nawe si vibaya ukibeba mzigo wa kushauri na kushawishi uongonzi wa sasa maana ata wakati wako yapo mengi yaliyotuumiza lakini uliweza kuturudisha sehem na tukajiona sote wamoja kama watanzania nakuomba utumia ujanja na weledi wako katika siasa za diplomasia.
Sitaki Unafiki
Una uthibitisho kuhusu Ben?
Nchi nzima anayekwepa(kama ni kweli) kodi ni Mbowe tu?
Nchi nzima asiyeendeleza ardhi ni Sumaye tu?
Huwezi taka upatanisho bila kutoka clean,
ChamaDola kaleta observation nzuri ila mpo msio elewa hasa chanzo ni nini, hao unaowatuhumu sana sana unaweza kuta wanafanya retribution tu