Christopher Ole Sendeka ateuliwa kuwa Msemaji Mkuu wa Halmashauri Kuu ya CCM

Christopher Ole Sendeka ateuliwa kuwa Msemaji Mkuu wa Halmashauri Kuu ya CCM

Hapo ndio umechangia nini sasa wewe kiti maalum.Inaonyesha utakavyokua mpiga meza bungeni naihurumia sana kodi yangu kulipwa mtu kama wewe.
mkuu ubunge wa sandakalawe umemlevya!hapo alipo anamwombea beste yake mwampamba naye apate wilaya
 
Nakumbuka Profesa Sospeter Muhongo alisema matokeo yake ya form six ni disaster

Sijui kama alishare-seat na kujiondolea hayo majanga ya Kitaaluma

Ni kweli hatua ambayo CCM imefikia ni lazima iwe na Msemaji asiyekuwa na upeo mpana wa kuchanganua mambo maana itabidi afanye kazi ya kutetea visivyotetewa.

Lazima itafute Mweledi wa kujitoa ufahamu bila soni.
Hebu weka hapa elimu ya Mbowe... na shule alizo soma na matokeo yake!

Ukiweza fanya hivyo nitakupa zawadi na nitaomba nipigwe ban la miezi miwili!
 
Nakumbuka Profesa Sospeter Muhongo alisema matokeo yake ya form six ni disaster

Sijui kama alishare-seat na kujiondolea hayo majanga ya Kitaaluma

Ni kweli hatua ambayo CCM imefikia ni lazima iwe na Msemaji asiyekuwa na upeo mpana wa kuchanganua mambo maana itabidi afanye kazi ya kutetea visivyotetewa.

Lazima itafute Mweledi wa kujitoa ufahamu bila soni.
Eti MsemajiUkweli na Lizaboni... Hivi mwenyekiti wetu ana taaluma gani vile?
 
Ndugu yangu U-hali gani..?
Natumai u-mzima wa afya.,naweza kukushauri jambo kutokana na mwelekeo wako wa siasa na namna unavyoendelea kuchuja na kutafuta namna mpya ya kupata kick..

JIFUNZE kuwa wakati umebadilika....acha kuendelea kuandika kama ulivyokuwa ukiandika...itakusaidia.
Juliana Shonza naona leo umemkumbuka "jamaa yako wa faragha" wa zamani.Kweli siasa mbaya,toka kuwa mwimba kwaya na mapambio,mwanamaombi na binti wa kanisa mpaka kuwa mwanasiasa wa chama dola,mtoa lugha chafu za matusi kwa wakubwa zako kama Dr Slaa na Mbowe,kweli shetani ana nguvu,fahari za dunia na anasa zake huwabeba wale waliojenga imani yao ktk mchanga
 
This is too low kwa JF Senior Expert Member kama wewe?...

Of all the people wewe ndiyo mtu wa kuja na post ya namna hii!!!....Smh

Sio poa kabisa Kamanda...

Apate 0 form Six kuna shida gani?, Mbona kuna viongozi wengi tu wa CCM na upinzani hawakufanya vizuri kwenye elimu yet wamefanya vizuri kwenye siasa..Mifano ipo...

Si vizuri kuitumia JF kuwadhalisha watu kwa sababu tu ya milengo ya kisiasa...

JF ni zaidi ya haya uliyoyaandika Mkuu wangu...
Acha kuisingizia JF mkuu! Hebu tujuzeni CV ya huyu msemaji mkuu wa chama.
 
Narudi tena usiwe una andika ujinga ujinga hapa!!

CV ya Nape ipo hapa JF isechi utaipata.

Kaandika Butimba Secondary haikuwepo wakati huo bali Butimba TTC. bUTIMBA SEC kwasasa nadahani ndio Form 4 wao wa pili au wa 3 ni mpya. Yeye alireseat akalamba ZERO tena. Kuwa mkweli.

Chuo cha kivukoni alienda kusoma Certificate na Siyo Diploma, wala hakumaliza ndio akatumikia India na kurudi na Diploma ya kijinga kijinga.

Tafadhali sn hata kama unalipwa upotoshaji hapa JF ni mwiko. Mwambie akareseat form 4 na Form six.
Sasa unachobisha hapo ni nini wewe mtu?..Eti hakumaliza Diploma akaenda India na kurudi na Diploma ya kijingajinga...Wtf

Sasa kama mimi nalipwa na wewe unalipwa na nani aisee
 
Sasa unachobisha hapo ni nini wewe mtu?..Eti hakumaliza Diploma akaenda India na kurudi na Diploma ya kijingajinga...Wtf

Sasa kama mimi nalipwa na wewe unalipwa na nani aisee
Butimba unayo andika hapa ana Div gani? Hiyo Kivukoni kwako alimaliza?
 
Juliana Shonza naona leo umemkumbuka "jamaa yako wa faragha" wa zamani.Kweli siasa mbaya,toka kuwa mwimba kwaya na mapambio,mwanamaombi na binti wa kanisa mpaka kuwa mwanasiasa wa chama dola,mtoa lugha chafu za matusi kwa wakubwa zako kama Dr Slaa na Mbowe,kweli shetani ana nguvu,fahari za dunia na anasa zake huwabeba wale waliojenga imani yao ktk mchanga
kwake yeye siasa na chama kwanza, MUNGU baadae na ndo maana anaweza kutukana kwa ajili ya kutetea chama huku akijua ni mauzi kwa MUNGU.
 
Acha kuisingizia JF mkuu! Hebu tujuzeni CV ya huyu msemaji mkuu wa chama.
Unataka CV ama elimu?...Kama ni CV mbona iko wazi?...

Ni sawa na mtu akuombe CV ya Mbowe, Sugu ama Lema sasa hivi ni lazima utamshangaa..Kwa sababu CV zao ziko wazi..

Halafu, CV ya Ole Sendeka wa CCM inakusaidia nini wewe mtu wa CHADEMA?
 
moods wa zamu mniruhusu nidondoshe matokeo ya Ole Sendeka hapa @cc Active, Mhariri
 
Back
Top Bottom