Ilagalailagala
Member
- Mar 13, 2016
- 41
- 16
Elimu muhimu mkuu ulimwengu wa leo huwezi kubeza elimu hatakidogo wewe weka cvunaukza elimu yake itakusaidia nn??
Elimu muhimu mkuu ulimwengu wa leo huwezi kubeza elimu hatakidogo wewe weka cvunaukza elimu yake itakusaidia nn??
ukinipa ya Mbowe na Kubenea nitaileta hapa ya SENDEKAleta c.v. Ya ole sendeka
Ndugu yangu U-hali gani..?Nakumbuka Profesa Sospeter Muhongo alisema matokeo yake ya form six ni disaster
Sijui kama alishare-seat na kujiondolea hayo majanga ya Kitaaluma
Ni kweli hatua ambayo CCM imefikia ni lazima iwe na Msemaji asiyekuwa na upeo mpana wa kuchanganua mambo maana itabidi afanye kazi ya kutetea visivyotetewa.
Lazima itafute Mweledi wa kujitoa ufahamu bila soni.
Kama ya Nape.Hivi huyu ana elimu gani?
Nauliza tu.
Narudi tena usiwe una andika ujinga ujinga hapa!!Sasa hapa ww ndio unaonekana stupid kwa kupinga kitu ambacho haukijui na hauna uhakika nacho...
Nape Moses Nnauye :
Amesoma O level Nsumba secondary...
Kisha kajiunga Butimba TTC..
Baadae akasoma Diploma ya Sayansi ya Jamii chuo cha Kivukoni...
Kisha akaenda Chuo cha Diplomasia kwa ajili ya Diploma ya International Relations...
Mwaka 2005 alijiunga na Bangalore University India kwa ajili ya Shahada ya kwanza ya Saikolojia, Lugha na Habari ambayo aliimaliza mwaka 2008
Kisha akajiunga na Chuo Kikuu Mzumbe kwa ajili ya Shahada ya Uzamili ya Utawala (MPA) ambayo aliimaliza mwaka 2011...Andiki lake lilihusu SABABU ZINAZOCHANGIA USHIRIKI WA WAPIGA KURA (Sababu za kutojitokeza wapiga kura siku ya kupiga kura)...
Ndugu yangu U-hali gani..?
Natumai u-mzima wa afya.,naweza kukushauri jambo kutokana na mwelekeo wako wa siasa na namna unavyoendelea kuchuja na kutafuta namna mpya ya kupata kick..
JIFUNZE kuwa wakati umebadilika....acha kuendelea kuandika kama ulivyokuwa ukiandika...itakusaidia.
umesahau akina kibajaji na maji marefu ni darasa la saba?Form Six failure,division Zero old moshi sekondari.Daa ccm imeishiwa wasomi kabisa
utaifakwanza Lizaboni
Mtafutie kanafasi hata ka ukatibu hapo ofisini kwako maana kule kinondoni amekuwa dekio la ofisiniNdugu yangu U-hali gani..?
Natumai u-mzima wa afya.,naweza kukushauri jambo kutokana na mwelekeo wako wa siasa na namna unavyoendelea kuchuja na kutafuta namna mpya ya kupata kick..
JIFUNZE kuwa wakati umebadilika....acha kuendelea kuandika kama ulivyokuwa ukiandika...itakusaidia.
mkuu,usipate shaka...macho yetu yako zenji!Wasitake kututoa kwenye mstari wa marudio ya uchaguzi zanziba. Watanzania tunaishi kwa matukio. Hilo ni tukio na kituko tu. Macho yote zanzibar b
Ole Sendeka ali - score KIDUARISHOukinipa ya Mbowe na Kubenea nitaileta hapa ya SENDEKA
katibu kaskakazi, mwenezi kaskazini hii hatari sanqKatibu wa Itikadi na Uenezi na wote wanaounda sekretarieti ya NEC-CCM Taifa hawateuliwi na Katibu Mkuu (Kinana)...Wanateuliwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa
haya ya faragha za watu zinakuhusu nini ama unataka kuchukua nafasi ya uke wenza?Eti umemwacha mumeo wa ndoa kiss KAPUKU na we we uko klozi na wabunge wenzio? Eti unasingizia UMEOKOKA na Bwana amekuonyesha eti Mumeo wa ndoa HAKUWA CHAGUO SAHIHI? Ni kweli kuwa kuna 'mnene' Fulani anakupa huduma kadhaa ulizotakiwa uzipate kwenye ndoa yako??
Wewe hujitambui kabisa mkuu inavyoonekana hujui nn? Maana ya elimuhata kama mnaonewa,hv ni lini mtaamua kuandamana kwa kuwapeleka watoto mashuleni ili wasome waelimike,badala ya kuandamana katika keypads ya simu!mabadiliko huja kwa matendo sio maneno!ebu waigeni wanyambo wa karagwe,wanavyo wafanya wahaya wa bukoba!
Hapo ndio umechangia nini sasa wewe kiti maalum.Inaonyesha utakavyokua mpiga meza bungeni naihurumia sana kodi yangu kulipwa mtu kama wewe.Ndugu yangu U-hali gani..?
Natumai u-mzima wa afya.,naweza kukushauri jambo kutokana na mwelekeo wako wa siasa na namna unavyoendelea kuchuja na kutafuta namna mpya ya kupata kick..
JIFUNZE kuwa wakati umebadilika....acha kuendelea kuandika kama ulivyokuwa ukiandika...itakusaidia.
si umeona baada ya kuupata ubunge wa sanda kalawe,hata jf anakuja kwa nadra!naomba povu linamtoka kutetea kitumbua chakeEti umemwacha mumeo wa ndoa kiss KAPUKU na we we uko klozi na wabunge wenzio? Eti unasingizia UMEOKOKA na Bwana amekuonyesha eti Mumeo wa ndoa HAKUWA CHAGUO SAHIHI? Ni kweli kuwa kuna 'mnene' Fulani anakupa huduma kadhaa ulizotakiwa uzipate kwenye ndoa yako??
oke,bwana msomi niambie wewe maana ya elimu basi?W
Wewe hujitambui kabisa mkuu inavyoonekana hujui nn? Maana ya elimu