Christopher Ole Sendeka ateuliwa kuwa Msemaji Mkuu wa Halmashauri Kuu ya CCM

tuwekee na matokeo ya mbowe tuyalinganishe.
1458465229209.jpg
 
Mbowe hata km alifeli mtihani wa darasani lkn kwa jinsi alivyofanikiwa kwenye biashara ni zaidi ya msomi wa vyeti. Km ingekuwa nchi za wenzetu angekuwa anakwenda chuo kikuu kuwajengea uwezo wanafunzi wa masomo ya biashara. Huwezi kumlinganisha Olesendeka na Mbowe hata kidogo..! Hata ccm wapo watu wanaofanana na mbowe. Mfano ni Jumanne Kishimba mbunge wa kahama. Huyu jamaa ni darasa la saba,lkn jamaa ni kichwa sana ktk mambo ya biashara nae km mbowe ni tajiri sana..! Ukibahatika kukaa na kishimba na ukabaki masikini basi utakuwa na kichwa nazi sana! Olesendeka tunataka ushahidi wa vyeti kwa sababu hakuna alipofanikiwa!!
Kamanda mimi sitaki maelezo marefu wala sipo hapa kulinganisha watu kielimu nachoomba ni elimu ya Mbowe tu sina mengine kamanada nisaidie kwa hilo.
 
Kamanda naona unamsema Mwenyekiti wetu Mbowe kijanja angalia usije kufukuzwa Chadema.
H
Haaahahhah mkuu ritz na amini sisiem ina wasomi wengi tatizo nini kumuweka zero.awe katibu
 
Mbowe hata km alifeli mtihani wa darasani lkn kwa jinsi alivyofanikiwa kwenye biashara ni zaidi ya msomi wa vyeti. Km ingekuwa nchi za wenzetu angekuwa anakwenda chuo kikuu kuwajengea uwezo wanafunzi wa masomo ya biashara. Huwezi kumlinganisha Olesendeka na Mbowe hata kidogo..! Hata ccm wapo watu wanaofanana na mbowe. Mfano ni Jumanne Kishimba mbunge wa kahama. Huyu jamaa ni darasa la saba,lkn jamaa ni kichwa sana ktk mambo ya biashara nae km mbowe ni tajiri sana..! Ukibahatika kukaa na kishimba na ukabaki masikini basi utakuwa na kichwa nazi sana! Olesendeka tunataka ushahidi wa vyeti kwa sababu hakuna alipofanikiwa!!
mbowe ana utajiri gani labda?,
au ile bar ya bilikanas?
 
Michango yetu inaonyesha uchama zaidi. Kama anafaa ateuliwe lkn kwa mtazamo wa elimu, mifumo ya kielimu tuliyonayo si bora hata kama angekuwa na phd kwa matunda ya elimu zetu hayaendani na sifa za elimu husika.
 
Hivi huyu ana elimu gani?

Nauliza tu.
Kubenea ana elimu gani?? Mbowe ana elimu gani?? Hiyo elimu kubwa ya viongozi waliopita imesaidia nini Tanzania?? Mimi ni CDM ila kushambulia mtu sababu ya elimu yake ni upuuzi
 
Elimu yake kamzidi kwa mbali sana Mbowe hivi umeishawahi kuuliza elimu ya Mbowe mkuu?
Anzisha Uzi wa elimu ya Mbowe mkuu, au fukua nyuzi zilizopita za elimu ya Mbowe. Swali lipo straight, Ole sendeka ALIZUNGUSHA????
 
Nakumbuka Profesa Sospeter Muhongo alisema matokeo yake ya form six ni disaster

Sijui kama alishare-seat na kujiondolea hayo majanga ya Kitaaluma

Ni kweli hatua ambayo CCM imefikia ni lazima iwe na Msemaji asiyekuwa na upeo mpana wa kuchanganua mambo maana itabidi afanye kazi ya kutetea visivyotetewa.

Lazima itafute Mweledi wa kujitoa ufahamu bila soni.
Ben kwenye hilo la Elimu wala usimsimange Ole Sendeka...

Kuna viongozi wengi tu wa vyama wengine wanashima nafasi za juu kiwango chao cha elimu ni cha chini lakini bado wanafanya vizuri kwenye uongozi wao wa kisiasa..
 
Kamanda mimi sitaki maelezo marefu wala sipo hapa kulinganisha watu kielimu nachoomba ni elimu ya Mbowe tu sina mengine kamanada nisaidie kwa hilo.
kada,mi nilifiri ulinganisho utakuwa kati ya mbowe na j.k,maana ao wote ni wenyeviti?halafu huyu katibu wenu itikadi na uenezi tumpanishe na mnyika,ahahaha!yaani ccm nzima,inaongozwa na failure!
 
Nakumbuka Profesa Sospeter Muhongo alisema matokeo yake ya form six ni disaster

Sijui kama alishare-seat na kujiondolea hayo majanga ya Kitaaluma

Ni kweli hatua ambayo CCM imefikia ni lazima iwe na Msemaji asiyekuwa na upeo mpana wa kuchanganua mambo maana itabidi afanye kazi ya kutetea visivyotetewa.

Lazima itafute Mweledi wa kujitoa ufahamu bila soni.
Elimu mbona kitu kidogo sana ....
 
Back
Top Bottom