Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
Hebu nikumbushe nami nicheke. Nshagundua nisipocheka minyoo tumboni inafanya sana ngono. Na si wajua minyoo haijui nyota ya kijani.
BTW kale kathread ketu nimekatafuta sikaoni. Nimekafanyia mpaka overtime lakini wapi.
Kuna mod kakaficha kwenye mkonosweta wake au??
we uliye tuu ucheke una mbavu.............sosi nsee a muro
wamekamuvuzisha muda ule ule tu.....nafungua kitu Holla...nikaambiwa Mod at work
Kale kathread kamesababisha nitukanwe jukwaa la siasa kule. Mungu akalaze mahali pema motoni.
Thank you, thank you, thank you neggirl! It is only the great hearted who can be true friends. The mean and cowardly, Can never know what true friendship means.
In everyone's life, at some time, our inner fire goes out. It is then burst into flame by an encounter with another human being. We should all be thankful for those people who rekindle the inner spirit.
Nafurahi kuwa nawe kama rafiki wa kweli! Namba 1 kama dedication kwako, lol!
nilijiona sifananii.........nilitamani ghafla niwe Ms Kalashnikov wa M23...........
busati lispo kwa ajili ya kukaliwa na kuhadithia.......!!!
Khaa!!! Mi staki ushindi wa mezani. Yani unaninamba kwa kunionea huruma. Namba 10 inakuhusu. Come this way chapchap sana.... tena uje without!!!
Oh mama mia.
Hapa mpwa uko kikazi au maslahi binafsi??
ya wakubwa
Ngoja niende sasa hv
Dada wewe nmekuletea korosho from mtwara...
Naendelea kukusubiri ujue...:A S 39:
I 4 you too neggirl . zawadi zingne inabidi zifunguliwe mbele ya ummaewaaaaaaa umefanya jambo la mbolea maana huyu kaka yangu Mentor mchoyo.
kwa sababu hii, i 4 u Mrembo by Nature
Mpwa natega tetere...
mmmh!!...sasa sijui la kikongwe kama mimi litafaa kitu