Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,273
- 96,400
Asante mpenzi. Nami pia the same goes back to u.
Afu mbona mie huniiti mpenzi? Unajua mi nnaionea wivu hata hiyo andawea ulovaa?
Mi nakasirikaga sana mimi. Na usiponiita mpenzi nikifa usinizike.
Asante mpenzi. Nami pia the same goes back to u.
Hahahahahahaha hivi kumbe ulitaka twende wote?? Sasa mbona ukajifanya unaendelea mwenyewe?!!
Sasa Al-shabaab huyu kafanyeje tena? halafu una hadithi ya kunipigia ujue...
poa best.......karibu
mhh jamani asante. Nashiba haya makiss yako, yaani na ninavyopenda nahisi kulewa.
Ila kona ile umeniua mshkaji? Mh hata sikutegemea hlf kila nikitaka kujibu server inazingua.
Ha ha ha!!! unapenda ya wapi na wapi hasa?
Laiti ungejua tayari niko PM ungekuja fasta tupange mipango mkakati. Sitoki huku mpaka uje. Liwalo na liwe.
Ha ha ha!!! unapenda ya wapi na wapi hasa?
kona ipi tena hiyo besti...?? haya nijibu sasa server ipo mswano
kudadadeki......nishamjua anayetembelea nyota yangu
Tema mate chini tumchape.....
Namtafuta wa kunifurahisha sijampata. Nliyekuwa namtegemea ananiumiza tu. Nimfanyeje?
umpate mara ngapi.........
yaani kila nikiwaza kile kitu nabaki kucheka mwenyewe