Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,754
Hebu nikumbushe nami nicheke. Nshagundua nisipocheka minyoo tumboni inafanya sana ngono. Na si wajua minyoo haijui nyota ya kijani.
BTW kale kathread ketu nimekatafuta sikaoni. Nimekafanyia mpaka overtime lakini wapi.
Kuna mod kakaficha kwenye mkonosweta wake au??
we uliye tuu ucheke una mbavu.............sosi nsee a muro
wamekamuvuzisha muda ule ule tu.....nafungua kitu Holla...nikaambiwa Mod at work
Last edited by a moderator: