Choose a dedication to your beloved jf member...!!!

Choose a dedication to your beloved jf member...!!!

Mentor you know i 10 you......ni huyu anayelipua mahoteli!! afu siku ile mkaniacha........kweli?!?!? tukakutana mbele.....mkaniacha tena.........kweli?!?!? hata sijaamini!!!!

Hahahahahahaha hivi kumbe ulitaka twende wote?? Sasa mbona ukajifanya unaendelea mwenyewe?!!

Sasa Al-shabaab huyu kafanyeje tena? halafu una hadithi ya kunipigia ujue...
 
halafu ww mentor coz naku 1& 4, na ili kuepusha 3&2 no. 10 inakuhusu sana n u know y....!!!???na kwasbb cpo tayari no. 12 inihusu

una case ya kujibu!!!!
 
Asprin nakupa no.8 ila si kademu.

Ewaaa sasa na mimi najisikia kidume. Angalau kabaioloji kangu kanakomwaga mikojo miwili kamestuka. Kwa furaha nliyonayo nakutupia namba 11 ili kikaeleweke na namba yako ulonipa.

Swali ni hili, itakuwa lini na tuko wangapi?
 
Last edited by a moderator:
kwa leo salamu zangu zimfikie my best friend HorsePower huko aliko. Namba 1 and 7 for u brother!

Thank you, thank you, thank you neggirl! It is only the great hearted who can be true friends. The mean and cowardly, Can never know what true friendship means.

In everyone's life, at some time, our inner fire goes out. It is then burst into flame by an encounter with another human being. We should all be thankful for those people who rekindle the inner spirit.
Nafurahi kuwa nawe kama rafiki wa kweli! Namba 1 kama dedication kwako, lol!
 
Last edited by a moderator:
Ewaaa sasa na mimi najisikia kidume. Angalau kabaioloji kangu kanakomwaga mikojo miwili kamestuka. Kwa furaha nliyonayo nakutupia namba 11 ili kikaeleweke na namba yako ulonipa.

Swali ni hili, itakuwa lini na tuko wangapi?
hahahah Asprin kumbe muogoga hv. mapaema yote hii unataka kujua mko wangapi?
Biology twafanana ndugu japo me mzee. Ebu panga wewe me ntarespond bila shaka.
 
Last edited by a moderator:
hahahah Asprin kumbe muogoga hv. mapaema yote hii unataka kujua mko wangapi?
Biology twafanana ndugu japo me mzee. Ebu panga wewe me ntarespond bila shaka.

Laiti ungejua tayari niko PM ungekuja fasta tupange mipango mkakati. Sitoki huku mpaka uje. Liwalo na liwe.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom