House Wife
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 373
- 223
Last edited by a moderator:
Mpwa natega tetere...
nakupa ruhusa maana Heaven on Earth kamind tayari bora mmalizane.
halafu hiyo laptop ungeitoa hapo vifaa vitaumia bure.
Mie na Heaven on Earth hatujakutana kwenye namba.
kwani ya wazee yanakuwaje? Yamechacha? hahahahahaha
Alasiri njema
Ewala mpwa.
İla usisahau, Kizuri mtu hula na nduguye.
nadhani umeshaniona na tumeelewana tayari.
huyo tetere mwenyewe mzee utamuweza?
Mimi nakupa no.7 maana cku ile kule uliniokoa nisipotee kwa yule mtu.
![]()
wishes zangu mi naomba namba 5 ziende kwa Lady doctor, miss strong, Madame B, Mamndenyi, na lara 1 .. aisee kama mpo kwa hewa naombeni username zenu kwa skype ama whatsapp!
changamka heaven on earth kabla sijabadili mawazo:eyeroll1: