44 ndio ipi?No. 44 mimi49
44 ndio ipi?
no.7 & 4 Munkari, heaven on earth, lady doctor, Madame b, watu8, figganigga, mokoyo., Eiyer, miss strong
no. 1 & 4 mentor
asalaleeeh!!! pamoja na kuleta uzi huu lakini sijapewa dedication na mtu hata mmoja kwa kunitaja kwa jina??
aisee mi naomba nimpe kura Lady doctor! chukua namba 10 kwanza ndo ujue nipo hapa kwa ajili yako!
Ahsante mpendwa!nr 8 and 11 for youSorry ni number 4.
Hahahaa mipango tu best
this tym lzm aiseee to fulfil hii kitu
ngoja nitakutafuta mtaa wa pili basi...au sio!
ewaaaaaaa umefanya jambo la mbolea maana huyu kaka yangu Mentor mchoyo.
kwa sababu hii, i 4 u Mrembo by Nature
Lol..............ha ha ha ha!!ha unataka tukamatwe nini!!we tulia mwekundu shaka ondoa
mambo mazuri hayahitaji haraka
cc Munkari
nmeshagaili mbona hamna dedication kwa "mpango wa kando?" cc Christine ibrahim
Mentor you know i 10 you......ni huyu anayelipua mahoteli!! afu siku ile mkaniacha........kweli?!?!? tukakutana mbele.....mkaniacha tena.........kweli?!?!? hata sijaamini!!!!Unajua Paloma una al-shabab wawili!!!! kuna yule ambaye kazi zake za ndani tu kutoka hapendi kabisaaa. Na kuna huyu anayependa kulipua mahoteli..yupi hasa unamuongelea!??
lol...........noumah kweli.....ha ha ha^^
Mmm utanifundisha umbea,,mnaanzaga hivi hivi
cc munkari
^^
Nimejistukia kabla sijajibu. teh teh teh House Wife naomba msaada. Nijazieeeee.
love you too @house wifeNami pia no.4 kwako mimi49