Choose a dedication to your beloved jf member...!!!

Choose a dedication to your beloved jf member...!!!

Hahahaa haaaa
paloma mwambie al-sha-beib asilipue mabom tutakufa wengi, via avimilie tu

mwenzangu weee..............kwani anaambilika sasa! al-sha-beib is head-ever-hills in..........deep shit!
yakilipuka madhara yake ni marefu!
 
ladies and gentlemen,
iam not famous in such here in jf, naomba nichukue nafasi hii kuwakutanisha wana jf ambao mnahisiana chochote kile hapa jukwaani.. the following is the chart, just choose the number which has a dedication word. for a example, to me i would like to take number 10 to heaven on desert.. ni mfano lakini!!

ok, ok, ok guys!!

chagua number nzuri kwa rafiki yako!!!

kazi ni kwako sasa!!
390933_253513394706418_1111224454_n.jpg
11........ tinna cute
 
Last edited by a moderator:
hehehe Mentor...........haya! ila ninahitaji hekima zako maan al-sha-beib ana mabomu hatari sana, yakilipuka nafa mie na vizazi vyangu vyote.

Unajua Paloma una al-shabab wawili!!!! kuna yule ambaye kazi zake za ndani tu kutoka hapendi kabisaaa. Na kuna huyu anayependa kulipua mahoteli..yupi hasa unamuongelea!??
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom