Albedo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 5,559
- 1,452
Mkuu BongoTz ukiondoa uzandiki kidooogo point zako zitakuwa na Mantiki sana.Mimi sina tatizo kama vyama vingine vikiamua kunganisha nguvu na Chadema ambacho kwasasa kinaonekana kuwa strong. Lakini inabidi tuwe realistic hapa: Mwaka 2000, Al Gore na Democratic party (walikuwa very strong) lakini for some odd reasons wakakataa katakata kumuaccomodate Ralph Nader. And matokeo yake: inasadikiwa kuwa Nader alichukua baadhi ya kura toka kwa Gore (esp. jimbo la Florida) na kusababisha Bush kushinda.
I know kuna watu hapa wata-argue vikali na kusema kuwa, mahakama kuu ya marekani iliamua kumpa ushindi Bush; lakini ukweli wa mambo ni kwamba, kama Nader asingekuwepo kwenye ballot, uwezekano wa Gore kushinda uchaguzi wa mwaka 2000 ulikuwa mkubwa sana. And that's a fact. So mimi ninawaomba Chadema waangalie watakachopoteza kwa kukataa kuungana na vyama vingine and not the other way around, that's all...
Kama Bob Dylan alivyowahi kusema, "when you got nothing, you got nothing to lose." TLP, CUF, NCCR, DP, have nothing to lose..
Umeeleza namna Al Gore na Democrat walivyokataa kum accomodate Nader lakini unashindwa kuoanisha hoja yako kwa kushindwa kuonesha ni vipi CHADEMA imekataa kum accomate Lipumba, yaani unataka uaminishe watu kwamba Lipumba aliomba Shavu CHADEMA akatoswa