VAN HEIST
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 1,434
- 617
- Thread starter
- #61
SEHEMU YA 19
endelea na utamu mdau wangu...
wakati vijana hawa wanafanya yao pale chini ya mwembe, kumbe mzee kibandiko alikua akiwachabo na ndipo alipoamua kupiga mluzi huku akielekea upande wao na ndipo zoezi zima la malovee likafikia kikomo. kutokana na uwoga walioupata baada ya mluzi huo wakatimua mbio kila mtu upande wake..
Kwa upande wa Rhoda , kitendo kilichotokea
alikichukulia kama nuksi kwa vile kilitokea
siku ya kwanza kuwa na Beka aliyekuwa
akimpenda sana.
¡° Jamani sijui nuksi gani hii , leo ndiyo mara
yangu ya kwanza kuwa na nimpendeye
halafu yanatokea haya!¡± Rhoda aliwaza .
Hata hivyo , msichana huyo alipanga siku
iliyofuata kwenda nyumbani kwa akina Beka
kwa lengo la kumuweka sawa ili wakutane
gesti ambako wangekuwa huru kufanya
mambo yao.
Baada ya Beka kufika nyumbani kwao mama
yake alishituka kumuona anahema na raba
alizovaa zikiwa na matope .
¡° Beka umepatwa na nini mwanangu ?¡±
alimwuliza .
Kumuondoa wasiwasi mama yake , Beka
alimdanganya kwamba wakati anarudi
alikutana na mbwa walioanza kumkimbiza
ndipo aliingia kwenye tope.
Baada ya kuambiwa hivyo , mama huyo
alianza kumlaumu mumewe kufuatia
kumtuma Beka kwa shangazi yake wakati
muda uliisha .
¡° Yote hayo kasababisha baba yako
aliyekutuma kwa shangazi yako , sasa hao
mbwa wangekung¡¯ata si ingekuwa balaa?
Ngoja arudi !¡± mama huyo aliwaka
¡° Nimesikia yote uliyosema , kosa langu lipi
wewe mwanamke ¡- kumtuma mtoto
nimefanya kosa ?¡± mzee Kibandiko alimwuliza
mkewe.
mama beka: ndio umekosea sana lakini
mzee huyo aliyekuwa anajua kilichotokea
alimwambia hakufanya kosa kumtuma Beka
na kilichotokea ilikuwa bahati mbaya tu !
¡° Wewe sema bahati mbaya tu , mimi sipendi
mwanangu apatwe na mabalaa ya kizembe, ¡±
mama Beka alimwambia mumewe .
¡° Mama kama alivyokuambia baba , imetokea
bahati mbaya , halafu giza likiingia sitapita
tena ile barabara ya kwa mzee Mwidodi
kwani wale mbwa wake wakali sana, ¡± Beka
alimwambia mama yake .
Kauli hiyo ya Beka ilimfurahisha sana baba
yake ambaye moyoni alimshukuru sana
Rhoda kumchangamsha maana kwa
alivyokuwa awali asingeweza kutunga
uhongo huo .
¡° Sasa unacheka nini?¡± mke wa mzee
Kibandiko alimwuliza mumewe aliyekuwa
akicheka kufuatia kauli ya kijana wao .
¡° Si ushapu wa mwanao , asingetimua mbio
angeng ¡¯ atwa, ¡± mzee huyo alimwambia
mkewe.
Mama huyo alipoona mtoto na baba
wanasaidiana, akawaacha huku akimwambia
mumewe akae akijua hapendi mwanaye
atembee usiku .
¡° Sawa mama nimekuelewa lakini kumbuka
huyu ni mtoto wa kiume!¡± mzee huyo
alimwambia mkewe.
Baada ya mama Beka kuelekea jikoni , mzee
Kibandiko alimwambia Beka kwamba alikuwa
kamfurahisha sana.
Beka bila kujua kama mzazi wake
alishuhudia kila kitu kilichoendelea kule
uwanjani alipokuwa na Rhoda na ndiye
waliyemkimbia baada ya kupiga mluzi,
alisema asante .
Alimshukuru mzazi wake akifikiria alifurahi
pale alipomwambia mama yake kwamba
tukio la kukimbizwa na mbwa lilikuwa bahati
mbaya.
¡° Yaani mwanangu huo ndiyo uanaume,
mwanaume hutakiwi kuwa goigoi, ¡± mzee
huyo alimwambia kijana wake lakini
alishindwa kufunguka alichomaanisha .
Kufuatia furaha aliyokuwanayo baada ya
kubaini siku yoyote Beka angeanza zoezi la
kikubwa kwa ushawishi mkubwa wa Rhoda ,
mzee huyo alimwambia atamtafutia zawadi .
¡° Hivi Beka una suruali ngapi za jinzi pamoja
fulana?¡± mzee huyo alimwuliza .
¡° Nne tu na moja inanibana , fulana zipo tano
lakini ile nyeusi uliyoninunulia wakati wa
harusi ya dada Sikitu imechuja rangi siku
hizi siivai, ¡± Beka alimwambia mzazi wake .
¡° Oke, kesho nitakupatia fedha ukanunue
nguo unazozitaka ,¡± mzee huyo alimwambia
kijana wake .
¡° Asante baba , fedha hizo uje umpe mama
ndiyo ataninunulia kama anavyofanyaga, ¡±
Beka alimwambia baba yake .
Kufuatia kijana huyo kutoa kauli hiyo , mzee
huyo alicheka na kumwambia Beka aachane
na mama yake kwani alikuwa amekua hivyo
alipaswa kununua nguo anazozipenda na si
kununuliwa .
¡° Kwa kuwa wewe ni kijana , nikikupa fedha
hizo muombe yule binti rafiki yako
unayejisomea naye akusindikize mjini
kufanya shopping , unaonaje ?¡± mzee
Kibandiko alimshauri .
Beka alipoambiwa hivyo alifurahi na
kukubaliana kwa asilimia mia moja na baba
yake , baada ya maongezi ya hapa na pale
Beka alikwenda kuoga. ¡° Ushauri wa baba
upo poa sana, nikukutana na Rhoda
nitamwambia ishu hiyo najua naye atafurahi
kunisindikiza kufanya shopping, ¡± Beka
aliwaza.
Alipomaliza kuoga alirejea sebuleni na kukuta
chakula kikiwa tayari akajumuika na wazazi
wake kupata mlo baadaye walikwenda
kulala .
Kulipokucha, Beka alikwenda shuleni ambako
alikutana na rafiki zake akina Moddy ,
walisoma mpaka muda wa kurudi nyumbani
ulipowadia. Wakiwa njiani na rafiki zake ,
Moddy akaanzisha stori za demu wake Tatu
ambaye jana yake alikuwanaye geto kwake
wakichangamshana damu .
¡° Mazee siyo siri mtoto yupo vizuri sana tena
sana halafu ananipenda mno kwa sababu
mimi ndiye kidume chake cha mbegu , ¡±
Moddy aliwaambia wenzake . Wakati Moddy
akisimulia hivyo , Beka ambaye hakuwa
kuduu hata siku moja alikuwa akimsikiliza
kwa makini lakini hakumuelewa aliposema
alikuwa kidume chake cha mbegu akaamua
kumuuliza:
¡° Unaposema kidume cha mbegu
unamaanisha nini?¡±
Kufuatia swali hilo, Moddy na wenzake
walimcheka Beka na kumwambia alikuwa
mwanaume suruali ndiyo maana hakujua
alimaanisha nini.
ITANDELEA HAPA HAPA...