chocolate na Chips kipi zaidi?

hauna T-bone nzuri
napenda sana kwa BBQ
Ila iwe soft, kama ulineba kuni sana na kukimbiza swala
nyama inaweza kuwa ngumu
ikakung'oa meno bure

Sirloin na Rib eye hutaki....?
nina uwezo wa kukupapia mpaka ushangae.....

ha ha ha
nakuhakikishia
mie ni kichwa ngombe kabisa
hakuna nachoshindwa.

naogopa wewe ni kichwa panzi....nikikupa kimaroro utawehuka......nitakupa mlongo....sijaiweka hata msesewe.....
 
Mi sijui nikoje, sipendi chocolate kabisaaaaa. I just don't like it!
Halafu hua nashangaa watu wanapenda kunipa chocolate!
Pia niko makini kiasi na ninacho kula, so sipendi chips (labda nipike mwenyewe)
 
Mwali Mwali....kwa nini hupendi chocolat....je suis gourmande(Roulette njoo rescue hapa)....mimi ukitaka kunipollonium utanipata huko....
 
Ngoja mie nimuulize my wife Husny , angependa nini !
Na umejuaje kama leo ni siku yangu ya kukumbukwa ? Mpaka ukaleta thread kama hii ?

mi nakutaka wewe tu mpenzi, chokolet na chips havina thamani zaidi yako.
 
Mwali Mwali....kwa nini hupendi chocolat....je suis gourmande(Roulette njoo rescue hapa)....mimi ukitaka kunipollonium utanipata huko....
Hivi kumbe?hahahaha. Mi sipendi tu vitu vyote vya sukari sana.
Ma cake, pastries zote, soda na mengine... kwa kweli simo kabisa!
Napenda salty snacks zaidi, na matunda. Napenda sana matunda,
Hata nikiwa class namenya chenza nakula, au hembe (natembea na ka Swiss knife)
 
Deskmate! najua kile unapenda lakini nitakushtua class. lol
 
kwa hiyo hata peazi unapenda..? na pera...?
 
Hahahahaha, hata kabla hujasema nimesha anza kucheka hapa... Nambie basi pole pole Preta asiskii

kwa hiyo hata peazi unapenda..? na pera...?
Well, matunda yote tu. As a matter of fact nakula pears hapa as naandika huu mstari. Karibu
Mapera napenda pia, hasa yale mekundu ndani. Sipendi ya kuiva sana, iwe a bit hard hivi.
 
nyota lol, nina mpango wa kumuibia mtu ili nikamilishe.
Kweli nyota tamu kuliko chumvi na sukari. lol
Ila kuiba sio vizuri deskmate, wewe ndie lawyer wetu
Nani atakuwakilisha ukipata matatizo?
Tafuta tu pole pole, hakuna haraka.
 
Back
Top Bottom