chocolate na Chips kipi zaidi?

chocolate na Chips kipi zaidi?

Chocolate and apples are love gifts.
What is chips kuku/mayai!!? Si hata home unaweza kuziandaa tu
 
weight iko poa?
Maana vyakula vya sukari na uzito ni kama kiberiti na kituo cha kuuza petrol

niko fit kabisa....nilikuwa na kilo 98 sasa nina 86....nimeimpruvu mno......
 
me like chocolate ...tena zile zinatengenezwa Ghana ...chips za nn tena ?
 
me like chocolate ...tena zile zinatengenezwa Ghana ...chips za nn tena ?

za Ghana...? yes....nakumbuka cacao Ghana...napenda chocs za Ghana.....zinaitwaje.....zinapatikana wapi.....?

 
he he he
nina mpango wa kuandaa BBQ kwangu

utaniuzia kilo 20 za nyama ya kuchoma.
Sikio moja litatutosha kabisa.

niko fit kabisa....nilikuwa na kilo 98 sasa nina 86....nimeimpruvu mno......
 
naomba ujiunge na kundi la Kaole
umezidi usanii

unazipenda wakati huzijui??
Utanivunja mbavu bure.

za Ghana...? yes....nakumbuka cacao Ghana...napenda chocs za Ghana.....zinaitwaje.....zinapatikana wapi.....?

 
kuna zile bounty, ndo nazijua na zile dayari milk.

dah, kuleni bana nyie bado vijana
sie umri ushakuwa wa kutembbea na kopo la valium.

Jaribu kula chocolate inaweza ikatake over valium, chukua hatua.
 
he he he
nina mpango wa kuandaa BBQ kwangu

utaniuzia kilo 20 za nyama ya kuchoma.
Sikio moja litatutosha kabisa.

nitakupa na shingo....eneo la shingo linahitaji upunguzaji.....

 
hauna T-bone nzuri
napenda sana kwa BBQ
Ila iwe soft, kama ulineba kuni sana na kukimbiza swala
nyama inaweza kuwa ngumu
ikakung'oa meno bure

nitakupa na shingo....eneo la shingo linahitaji upunguzaji.....

 
I looove CHOCOLATE!! Chips kitu gani bana..
 
Back
Top Bottom