chocolate na Chips kipi zaidi?

Nimejifunza kitu. Dada zetu siku hizi hawaoni zawadi mpaka zile "zilizoidhinishwa" na wazungu. Nimeshangaa kuona kwamba eti kwamba chips haziwezi kuwa zawadi, kwa nini lakini bandugu?
Kuna mtu kauliza kama inawezekana chips kufungwa kwenye "gift paper"
 
Sasa kigarama wewe ulikuwa haujui?
Siku izi hata ukitongoza bana kama haujatia na kiingereza kiinngreza basi utawapata wa uswahilini tu.
 
Back
Top Bottom