chocolate na Chips kipi zaidi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

chocolate na Chips kipi zaidi?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Kigarama, Mar 11, 2012.

 1. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kuna wanawake ukiwapa zawadi ya Chocolate basi inakuwa umemaliza kila kitu,lakini wengine bila chips yai ua kuku basi wewe unaonekana "how comes". Hii kitu inanichanganya hadi najiuliza hivi hawa dada zetu kati ya Chocolate na Chips ni kipi kinawachowachanganya zaidi?
   
 2. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 728
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Mimi nilidhani unazungumia kupenda kula? Mwanaume atakuzawadia vipi chips?


  BTW Chocolate zaidi.
   
 3. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,134
  Likes Received: 2,118
  Trophy Points: 280
  Mtoto wa uswahilini mpige chips kuku. Mtoto wa gate kali gift chocolate inafaa , chips kuku kwake ni kawaida meal.
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,252
  Likes Received: 15,073
  Trophy Points: 280
  Mi wangu mpe juisi ya baridi ya miwa hapo utaonekana bonge la mjanja
   
 5. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Ngoja mie nimuulize my wife Husny , angependa nini !
  Na umejuaje kama leo ni siku yangu ya kukumbukwa ? Mpaka ukaleta thread kama hii ?
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Mar 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  Mbege zaidi bana, tena ukiongeza na kitumbua, umemaliza.
   
 7. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,513
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  ..mm sijaelewa hapo uliposema "umemaliza kila kitu"...ina mana hawa watu ni rahisi ivyo asee?
   
 8. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #8
  Mar 11, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  si kihivyo ndugu yangu, bali nilimaanisha kwamba na wewe utaonekana umo miongoni mwa waungwana!!
   
 9. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #9
  Mar 11, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,513
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  owkey...nimekusoma...wakishua chocolate ndio mpango mzima...huko mburahati, chips will DO!
   
 10. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #10
  Mar 11, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kwani zawadi kwako ni nini bibie. Au chips haiwezi kuwa zawadi?
   
 11. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #11
  Mar 11, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,797
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Unazungumzia Kitumbua kitumbua ama kitumbua *kitu*? heb fafanua basi arifu...
  Heri ya Jumapili dada/kaka..
   
 12. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #12
  Mar 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  Kitumbua cha jioni au alfajiri
  ukiwa na mbege kichwani hunoga sana

   
 13. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #13
  Mar 11, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,022
  Likes Received: 5,191
  Trophy Points: 280
  wangu ukimpa fungu la mihogo cheupe na ngogwe fungu 1 utaonekana bonge la kidume
   
 14. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #14
  Mar 11, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,797
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  chenye sukari au chumvi?
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Mar 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  pilipili mbuzi

   
 16. Emilia

  Emilia JF-Expert Member

  #16
  Mar 11, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 266
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sidhani kama chips inaweza chukuliwa kama zawadi ila chocolate unaweza kufanya zawadi,
  na ukampelekea mtu akafurahi zaidi.
   
 17. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #17
  Mar 11, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,994
  Likes Received: 2,718
  Trophy Points: 280
  chocolate chocolate........I like chocolate......
   
 18. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #18
  Mar 11, 2012
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,556
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hivi chips kuku unafunga kwenye gift box, kweli tembea uone.
   
 19. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #19
  Mar 11, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,797
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  pipi kali hutaki?
   
 20. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #20
  Mar 11, 2012
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,556
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Which ones to prefer Mars or Snickers, lol...
   
Loading...