Chit-chat Ladies Help Me! Only Ladies Please!

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,255
2,000
Wanachitchat wote hamjambo?
Naomba msinishutumu kwa kuonekana mbaguzi kwenye title ya thread hii. Kwa hilo naomba nijieleze kwa kifupi. Maudhui ya thread yangu ni delicate sana kiasi kwamba sitaki nipate stress kwa majibu makali ya masihara yanayotolewa na wanaume wa huku. Kuna mtindo umezuka wa kuandika: 'Weka picha' au wengine kuandika lugha za kuudhi sana. Jambo hili sijaliona kwa wadada, ndo maana kulingana na tatizo langu naomba wachangiaji wawe wanawake tu!

Ni hivi: Juzijuzi nilimtembelea girlfriend wangu.Akanikaribisha vizuri na baada ya muda akaniaga anaenda kuleta vinywaji kutoka grosari iliyo karibu. Aliacha begi/pochi lake kwenye stuli. Pochi hilo lilituna kwa namna ya kuvuta udadisi wangu. Nikalivuta karibu na kuchungulia ndani. Humo, niliona tube ya KY Jelly na vikorokocho vingine vya urembo. Nikawaza:Hivi kweli, KY Jelly ni kifaa cha urembo?

Aliporudi nikamwuliza. Alifadhaika kiasi na kuniambia: Kwani hujui KY Jelly ni nzuri sana kwa kuondoa chunusi? Na kweli chunusi anazo. Nikanyamaza tukaendelea na vinywaji.

Ladies, nisaidieni. Is KY Jelly used for cosmetic purposes? Kuna mengi nimesikia mtaani kuhusu ky jelly ambayo sitayasema hapa ila wadada wa hapa nawaomba wadadavue usemi wa girlfriend wangu.
Please Mamndenyi, Smile Heaven on Earth, mimi49 et al
thanks.
 
Last edited by a moderator:

gorgeousmimi

JF-Expert Member
Jun 21, 2010
8,851
2,000
Ninavyojua mimi hio KY JELLY inatumika kama sexual/surgical lubricant...Hayo mambo ya chunusi mi sijui mhhh!!!
 

Paloma

JF-Expert Member
Jan 22, 2008
5,335
2,000
mwambie akuelekeze amenunua duka gani la vipodozi nawewe umaknunulie wifi yake maana anachunusi!
na akupeleke!!!
 

Mamndenyi

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
31,640
2,000
Hiyo ina kazi maalum japo wengine pia wanatumia olver oil. Inawezekana alitaka uitumie naye kwenye mishe mishe zenu siku hiyo au pia alikuwa na miadi mahala pengine.
 

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,255
2,000
Hiyo ina kazi maalum japo wengine pia wanatumia olver oil. Inawezekana alitaka uitumie naye kwenye mishe mishe zenu siku hiyo au pia alikuwa na miadi mahala pengine.
Nitumie naye? Sina chunusi miye!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom