Chit-chat Ladies Help Me! Only Ladies Please!

Inasaidia kulainisha papuchi nk. Hilo la chunusii dah sizan aisee!kakudanganya kmtindo
 
Inaelekea kwamba unauliza swali ambalo jibu lake unalifahamu ila unatafuta kuungwa mkono tu. Mimi simtetei huyo bibi yako ila nimeona kwamba wewe mwenyewe inabidi urekebishe tabia zako. Usipende kufanyia watu mambo ambayo ukifanyiwa wewe mwenyewe hutofurahi.
Kwa nini unapekua begi la mtu bila ruhusa yake? Yaani hata kama angekuwa mkeo pia isingekubalika. Pili umeona mambo ya aibu ndaniya begi la mtu, kwa nini unaamua kuja kutoa siri hapa hadharani? Kisha tena ulivyokuwa sio mstaarabu, unamuacha mwanamke akuletee wewe vinjwaji badala ya wewe kwenda, huoni kuwa mambo haya yote yanakutengenezea picha ya mtu aliekuwa sio mstaarabu?
Pale ulipoigundua dosari kwa bibi yako jambo la kufanya ni kuchukua uamuzi, aidha uachane nae au kama bado unampenda ubakie nae, lakini haifai kutangaziana.
Kama umeamua kubaki nae (kama inavyoelekea) ujue kwamba rafiki wa mwizi nae nae pia atakuwa mwizi, kwa hiyo itakuwa si ajabu kwa sasa hivi kama umeshakuwa mwenyeji wa matumizi ya KY, na bila shaka sasa utakuwa ndio mnunuaji. Hadhari moja nakupa; uwe unahunga sana usiwe unaweka tube zako ovyo ovyo, kwa sababu kuna watu sio wastaarabu wanaweza kupekua vitu vyako wakakugundua nazo, itakuwa noma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom