Ana simu tatu. Mitandao anayotumia ni zantel, airtel na voda.Anapigiwa simu nyingi sana na rafiki zake.Kwa mada hii,Mkague kule kwenye mtandao mwingine,inawezekana wenzio walishaanza kupiga simu siku nyingi sana!
Eti hutaki ushauri wa Me,tunakupa ushauri utake husitake!Unategemea wadada wenzie watakwambia haya niliyokwambia,thubutu,sana sana watasema ni rangi ya kucha
Mwanaume rijali alofundwa hapekuwi mikoba ya wanawake wewe....We ungefurahia upekuliwe wallet yako??Heshimu privacy ya mwenzako ndo uhusiano wenu utadumu...Napekua mpaka papuchi. Ndo itakuwa mkoba/pochi?
Baba V unatafuta ngumi ehee?Mwenzio amesema wanaume hapana kushauri!!!Kama umeamua kumpenda chunia tu.. vinginevyo ni ya kumchunguza bata ukashindwa kumla..
Krismas inakaribia.
Mkoba/pochi ungenyemelewa na kibaka ningenyamaza? Mkoba unanihusu farkhina!