Chit-chat Ladies Help Me! Only Ladies Please!

Chit-chat Ladies Help Me! Only Ladies Please!

Mwanaume rijali alofundwa hapekuwi mikoba ya wanawake wewe....We ungefurahia upekuliwe wallet yako??Heshimu privacy ya mwenzako ndo uhusiano wenu utadumu...
Hiyo ni bush philosophy! Akiweka madawa ya kulevya kwenye pochi yake hiyo ni privacy yake siyo?
 
Hayo mafuta niyawa2miaj wa 0713 jifanye cku1 unamuomba umeckia nipazur bt uwe criaz uone atariact vp
Asante culbby! Umeniambia kitu! Ntachunguza.
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ni bush philosophy! Akiweka madawa ya kulevya kwenye pochi yake hiyo ni privacy yake siyo?
Hio itakuwa lawama yake we haikuhusu....hilo ndo tatizo letu watanzania vimbelembele sana ka ushuzi wa ngomani....Mkoba wa watu lakini umepekura na bado kinganganizi mmhhhh....kizaizai...
 
Sijawah kusikia ky jelly ni dawa ya chunusi.. Huyo kakudanganya.
 
The best product of Jonhson-johnson for all sexual activities..
Ila yawezekana matumizi mengine ya hiyo jelly yamepatikana....
Kuondoa chunusi lol...
 
Ukome wewe ulijua mke kwenye poch katia chips au?ndo ukome kua nakiherehere.unaomba lift unataka upige na honi.nyie ndowale unaenda kwamtu unaanza kuchezea tv zawatu.nk.fata yalokupeleka.alaaah
 
pole kaka, wanaocoment kejeli yaonyesha wazi kwamba na wao ndo zao.
 
The best product of Jonhson-johnson for all sexual activities..
Ila yawezekana matumizi mengine ya hiyo jelly yamepatikana....
Kuondoa chunusi lol...
Thank you for being so informative Jawilat!
 
Last edited by a moderator:
Ukome wewe ulijua mke kwenye poch katia chips au?ndo ukome kua nakiherehere.unaomba lift unataka upige na honi.nyie ndowale unaenda kwamtu unaanza kuchezea tv zawatu.nk.fata yalokupeleka.alaaah
Ndo maana nilikataa ME wasichangie hii thread. Angalia hizo kashfa, kejeli, na masihara!
 
Hio itakuwa lawama yake we haikuhusu....hilo ndo tatizo letu watanzania vimbelembele sana ka ushuzi wa ngomani....Mkoba wa watu lakini umepekura na bado kinganganizi mmhhhh....kizaizai...
mimi49, Ninakuheshimu sana! Mimi sina kimbelembele kama ushuzi wa ngomani. Curiosity is a normal human trait.
I was just curious to know what contents made her bag bulge! Just that! Aren't you curious at times?
 
Last edited by a moderator:
Ky hutumia hospotalin pia kwa wagonjwa kwa ajili yakuingiziwa mipira ili wapate haja kiuraisi.Huenda chunusi zake huwa zinaingizwa mipira

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Ky hutumia hospotalin pia kwa wagonjwa kwa ajili yakuingiziwa mipira ili wapate haja kiuraisi.Huenda chunusi zake huwa zinaingizwa mipira

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Ndo maana amekataza "ME" kuchangia.. majibu yenu yana fujo ati.!?
 
kabanga wewe ni lady? Wanaume niliwaomba wakae pembeni.Au avatar yako inanipotosha? Picha ndo hiyohiyo niliyoona kwenye pochi/mkoba.
hapana, mimi ni baba lao, nimeweka kapicha hako ili nikukumbushe na wengine waone hiyo kitu inafananje....?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom