Chit-chat imetokea kuleeee.

Chit-chat imetokea kuleeee.

Hatoki mtu .... Waakitoka analogia kwenda digitali na sisi tumo.... Filipo darling una la kuongezea?

You made it clear! Halafu nimekutafuta!!? Jioni nataka nikupeleke sundown cannivo! Nikupitie?
 
Last edited by a moderator:

Raha kweli.. Hivi kumbe kila siku ni valentine day?
Mpenzi nipigie kwenye simu ya voda, Airtel imeingia kirusi kwa muda.... Love you.....
 
ummu kulthumu mwenzio umesema old is gold mie umenikumbusha mbali sana umenikumbusha yale ma break dance na ma fank hahaha ilikuwa full kuteleza na kujinyonga nyonga kama nyoka alie pigwa kichwani BAK niache na london beats hapo aisee

aaaah aaaah! unanitaka nilie kuukumbuka ujana wangu mama weeee! mambo ya twist na ile saga rumba na ileee tukunyema *3mpaka chini*3 the MK BEATS aaaaaah aiseee akhera hakuendeki dunia haikaliki nimepatwa na mfadhaiko ooooh hii kitu siju nani aliimba.
 
Huo wimbo unaitwa VIP, umeimbwa na Jerry Nasho a.k.a Dudumizi akiwa na kundi zima la Vijana Jazz na mtindo wao wa Pambamoto, awamu ya pili. Palikuwa hapatoshi kabisa hapo Vijana social hall Kinondoni wakati huo!!
 
umejieleza vizuri sana shem Filipo
 
Last edited by a moderator:
aaaah aaaah! unanitaka nilie kuukumbuka ujana wangu mama weeee! mambo ya twist na ile saga rumba na ileee tukunyema *3mpaka chini*3 the MK BEATS aaaaaah aiseee akhera hakuendeki dunia haikaliki nimepatwa na mfadhaiko ooooh hii kitu siju nani aliimba.

hahaha vya zamani dhahabu bwana.
 
Amenikumbusha mbali sana! Wakati huo Asprin yupo kijijini na redio walizokuwa wanazipata ni za Kenya tu!
Mkuu tunazalilishana ujue. Hata kama ningekuwa mtu wa kuzaliwa bush, yaani kipindi cha Vijana Jazz bado ningekuwa niko shamba? Mi nimeaza kusakata rumba enzi za JUWATA Jazz (nyie mmeijulia enzi za OTTU nadhani). Wakati huo DDC Mlimani Park ikipiga DDC Kariakoo, JUWATA wakipiga NEW SILENT INN (Najua wengi hamuijui) hapa mjini palikuwa hapatoshi. Hapo hatujawasema Super MATIMILA, SAFARI SOUND et el

Nyie kizazi cha Ali Choki na Banza Stone mtatuambia nini bana na Twanga pepeta zenu?
 
Huo wimbo unaitwa VIP, umeimbwa na Jerry Nasho a.k.a Dudumizi akiwa na kundi zima la Vijana Jazz na mtindo wao wa Pambamoto, awamu ya pili. Palikuwa hapatoshi kabisa hapo Vijana social hall Kinondoni wakati huo!!

dah afadhali ngoja niutafute naupenda sana,kumbe na we wa long eeeeh?
 
Mkuu tunazalilishana ujue. Hata kama ningekuwa mtu wa kuzaliwa bush, yaani kipindi cha Vijana Jazz bado ningekuwa niko shamba? Mi nimeaza kusakata rumba enzi za JUWATA Jazz (nyie mmeijulia enzi za OTTU nadhani). Wakati huo DDC Mlimani Park ikipiga DDC Kariakoo, JUWATA wakipiga NEW SILENT INN (Najua wengi hamuijui) hapa mjini palikuwa hapatoshi. Hapo hatujawasema Super MATIMILA, SAFARI SOUND et el

Nyie kizazi cha Ali Choki na Banza Stone mtatuambia nini bana na Twanga pepeta zenu?

babuuuuuuu shusha munkari BP Itapanda bure uwape wakezo shida bure!!
 
Mkuu tunazalilishana ujue. Hata kama ningekuwa mtu wa kuzaliwa bush, yaani kipindi cha Vijana Jazz bado ningekuwa niko shamba? Mi nimeaza kusakata rumba enzi za JUWATA Jazz (nyie mmeijulia enzi za OTTU nadhani). Wakati huo DDC Mlimani Park ikipiga DDC Kariakoo, JUWATA wakipiga NEW SILENT INN (Najua wengi hamuijui) hapa mjini palikuwa hapatoshi. Hapo hatujawasema Super MATIMILA, SAFARI SOUND et el

Nyie kizazi cha Ali Choki na Banza Stone mtatuambia nini bana na Twanga pepeta zenu?

Mkuu wewe unajua vizuri! Mie ni si mtoto wa rika la akina Muumini! Hao Super Matimila tumecheza nao sana Matimila Bar hapo Mwananyamala! Hao MK Beats tumecheza nao sana hapo Kilimanjaro hotel, ngoma za magorofani! Mkuu mie sio wa leo kabisa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom