Chit-chat imetokea kuleeee.

Chit-chat imetokea kuleeee.

usijisahaulishe na ile.posa ya kuleta kwa Mtambuzi.
Dedication yako: kalubandika

khaaa!kweli ng'ombe hazeeki maini mi namshangaaa na wake zake walivyo na umoja wasije wakanitoa nduki bureeee...dedication yako @aspirin na wakezo:VICKY kwanza kuzaliwa eeeh pili mapenzi eeeeh tatu ni kifo eeeehi eeeeh maua,nina amini ndoto niliyoota ni kweli umezaliwa (vicky)kwenye mabano weka mkeo mmoja unayempenda sana au wote nitakuheshimu kama unavyoniheshim.kwa wimbo huu mi posa yako aaaaah
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom