Chit-chat imetokea kuleeee.

Chit-chat imetokea kuleeee.

Slave hapa nasema tena i am serious Vin Diesel miye sikuachi fanya mbwembwe zako lakini mikononi mwangu hautatoka tena.

weye unampenda kweli mumeo?yaan unamruhusu afanye mbwembwe zake zote na bado mikononi mwako asitoke? INawezekana hujui kuwa ARVs sasa hivi zinauzwa bei mbaya .
 
Last edited by a moderator:
Slave ina maana atakuwa haelewi hilo.

weye unampenda kweli mumeo?yaan unamruhusu afanye mbwembwe zake zote na bado mikononi mwako asitoke? INawezekana hujui kuwa ARVs sasa hivi zinauzwa bei mbaya .
 
Last edited by a moderator:
Naamini imetoka mbali sanaa.pamoja na changamoto zinazoisonga lakini bado ni imara na inazidi kupata wageni wapya kila siku,mwanzo kabisa mie nilikuwa naingia kwa beep hatimae nimepiga kabisa. Napata furaha sana ninapo mcheck Vin Diesel akiwa na Mamndenyi huku pembeni namuona charminglady na baba yake watu8 pia nawaona dada zangu wapenzi king'ast na Arabela kwa mbaaaali namuona my waifu wangu mtarajiwa Evelyn Salt akiwa katika pozi lake matata. Mh! Kwakweli tumetoka kuleeee!
What dya min Vin disel na Mamndenyi? Slave unataka nikupige na kitu kizito kichwani?
 
Last edited by a moderator:
ngoja naandaa sensa

It is kiukweli... andaa sensa na itajionyesha.. Huenda idadi isijalishe,lakini kimahusiano na kujuana na kufahamiana,CC iko juu, wakati sura ni wachache wanaojuana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom