Slave
JF-Expert Member
- Dec 6, 2010
- 5,313
- 2,657
Naamini imetoka mbali sanaa.pamoja na changamoto zinazoisonga lakini bado ni imara na inazidi kupata wageni wapya kila siku,mwanzo kabisa mie nilikuwa naingia kwa beep hatimae nimepiga kabisa. Napata furaha sana ninapo mcheck Vin Diesel akiwa na Mamndenyi huku pembeni namuona charminglady na baba yake watu8 pia nawaona dada zangu wapenzi king'ast na Arabela kwa mbaaaali namuona my waifu wangu mtarajiwa Evelyn Salt akiwa katika pozi lake matata. Mh! Kwakweli tumetoka kuleeee!
Last edited by a moderator: