Chit-chat imetokea kuleeee.

Chit-chat imetokea kuleeee.

Mi mwenyewe nilikuwaga siasani kulee pindi nilipojiunga....Nilipopata ban ya mwezi baada ya kurudi nikiwa bado nina wenge la ban mara nkadondokea CC nikawa naliwazika huku.....Long live cc...

that Y i said tumetoka kuleee
 
Aisee rungu limepita lini humu? Mbona Baba V anaonekana ndani ya tundu sita?
 
Last edited by a moderator:
kila siku wapya wanakuja na swaga zao dah! ila old is gold hongereni waanzilishi

ummu kulthumu mwenzio umesema old is gold mie umenikumbusha mbali sana umenikumbusha yale ma break dance na ma fank hahaha ilikuwa full kuteleza na kujinyonga nyonga kama nyoka alie pigwa kichwani BAK niache na london beats hapo aisee
 
Last edited by a moderator:
Mi mwenyewe nilikuwaga siasani kulee pindi nilipojiunga....Nilipopata ban ya mwezi baada ya kurudi nikiwa bado nina wenge la ban mara nkadondokea CC nikawa naliwazika huku.....Long live cc...

tedo mi nimeanzia humu na sitoki ng'oooo
 
Last edited by a moderator:
Slave hapa nasema tena i am serious Vin Diesel miye sikuachi fanya mbwembwe zako lakini mikononi mwangu hautatoka tena.

aaaah! Bad news! Mamndenyi njoo unishike naweza kuanguka na kupoteza fahamu oooh! Vin Diesel mie kweli wakunifanyia hivyo kweli?tena napiga picha huko waliko nazidi kuumia
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom