Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
Upashe kwani umekula lini wewe!!!!! teh.....
Aah weweeee....nakusubiri hapa mie.
Upashe kwani umekula lini wewe!!!!! teh.....
Aah weweeee....nakusubiri hapa mie.
vaa kabisa ile red med na zile roso nilizo kuletea nami hapa nanyuka shati langu la juliana suruali ya michael jackoson na viatu travota hehehe!
He he he Vin Diesel kama apasuke vile!!!!!
hahaha umeonaee? Natamani siku ya ndoa apewe kiticha mbele kabisa maana nitafurahi sana nitakapo muona akichuruzika mate kama fisi alie ona mzoga.
Umeona eh? Ndio maana ulivotaka kujitoa JF nlitaka nijitie kitanzi. Si unajua niko kwenye maandalizi ya kuleta posa kwenu?babuuuuuuu shusha munkari BP Itapanda bure uwape wakezo shida bure!!
Ulinishangaza mzee mwenzangu ulivosema enzi za vijana jazz tulikuwa tunasikiliza radio ya Kenya. Hawa vijana wa Juzi kina Eddy Sheggy, Adam Bakari, Hemedi Maneti et el bado nasikiliza KBC? Enzi za KBC walikuwapo vijana kina Marijani Rajabu, Muhidin Gurumo, Kassim Mapili, Remmy Ongala, Hassan Rehan Bichuka, Kassim Uvuruge..... (Bob Mallya) et el..... we vipi bana...... :becky::becky::becky::becky: Unaikumbuka The Mushrooms band na Kibao chao cha At The Carnival?:majani7::majani7::majani7:Mkuu wewe unajua vizuri! Mie ni si mtoto wa rika la akina Muumini! Hao Super Matimila tumecheza nao sana Matimila Bar hapo Mwananyamala! Hao MK Beats tumecheza nao sana hapo Kilimanjaro hotel, ngoma za magorofani! Mkuu mie sio wa leo kabisa!
Aah weweeee....nakusubiri hapa mie.
Umeona eh? Ndio maana ulivotaka kujitoa JF nlitaka nijitie kitanzi. Si unajua niko kwenye maandalizi ya kuleta posa kwenu?
Ulinishangaza mzee mwenzangu ulivosema enzi za vijana jazz tulikuwa tunasikiliza radio ya Kenya. Hawa vijana wa Juzi kina Eddy Sheggy, Adam Bakari, Hemedi Maneti et el bado nasikiliza KBC? Enzi za KBC walikuwapo vijana kina Marijani Rajabu, Muhidin Gurumo, Kassim Mapili, Remmy Ongala, Hassan Rehan Bichuka, Kassim Uvuruge..... (Bob Mallya) et el..... we vipi bana...... :becky::becky::becky::becky: Unaikumbuka The Mushrooms band na Kibao chao cha At The Carnival?:majani7::majani7::majani7:
Eti?😛op2:😛op2:
Oh Celina piga konde moyo oh Celinaaaa
Oh Celina utafanikiwa oh Celinaaaaa:glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy:
Kuna kitu "lifti" unakikumbuka?Kweli ya kale dhahabu! Umenikumbusha Sikinde! Hapo Maalim Ngurumo alikuwa kwenye peack!
Kuna kitu "lifti" unakikumbuka?
..... Gari iliniharibikia.....
..... Yule kijana alinisaidia kusukuma, mume waaanguuuu.... ooooohhhh o maamaaa...
......Kilichonishangaza siyo liftii mama watoto,
......Ni tabasamu na vicheko vilivyokuwepo ndani ya gari.......
Au kuna ile makitu ya Maximillian Bushoke na BIMA LEE ORCHESTRA
Mesenja kaleta balaa nyumbani kwa meneja bila kufahamuuuuu
Siriiiii imefichuka.....
Wakati huo demu wako anayenichuna amu alikuwa bado kuzaliwa.
Kuna kitu "lifti" unakikumbuka?
..... Gari iliniharibikia.....
..... Yule kijana alinisaidia kusukuma, mume waaanguuuu.... ooooohhhh o maamaaa...
......Kilichonishangaza siyo liftii mama watoto,
......Ni tabasamu na vicheko vilivyokuwepo ndani ya gari.......
Au kuna ile makitu ya Maximillian Bushoke na BIMA LEE ORCHESTRA
Mesenja kaleta balaa nyumbani kwa meneja bila kufahamuuuuu
Siriiiii imefichuka.....
Wakati huo demu wako anayenichuna amu alikuwa bado kuzaliwa.
Asikwambie mtu aisee, kweli muziki ulikuwa zamani, sio hawa wa siku hizi ambao kuimba hadi waweke mkono katikati ya miguu sijui wanakuwa wanashika na ile mic ya chini!?? sielewi ati
Ehehee, hii couple Globu sijui anaionaje, si alizusha eti wewe ni hazbend by sex
Hana ishu huyo mi mwenyewe nna wasiwasi na jinsia yake.....
mwanaume gani mmbea!!!!