Chit-Chat bila Mpoleee imedorora

Chit-Chat bila Mpoleee imedorora

Mpoleee, mshikaji kakuzimia sema nae lakini angalia asije akawa kama yule wa GX 100

hab ha ha mimi usafiri wangu dala dala. aje na 500 tu ya kunirudisha mwembeyanga
 
ni yeye mwenyewe anajipa promo!

wabongo bwana wakishikwa kwenye korodani wanaanza kutafuta visingizio. huo wote ni uvivu wa kufikiri tu. yaani wewe unashindwa kutofautisha kati ya kanzu na gauni?
 
wabongo bwana wakishikwa kwenye korodani wanaanza kutafuta visingizio. huo wote ni uvivu wa kufikiri tu. yaani wewe unashindwa kutofautisha kati ya kanzu na gauni?

promota polisi hongera sana bana kazi unaiweza
 
Back
Top Bottom