CHIT-CHAT BACHELORS (C.C.B) Jiandikishe mapema

CHIT-CHAT BACHELORS (C.C.B) Jiandikishe mapema

aagh... Mzungu Hunbig alikuwa penda penda tu... Alianza ni Kipipi akaja stevoh akamaliza na Madame B .... Haitishi bado

Hapana Chezea Madame B.
Na Mndali asingevurunda,ningemuweka kwenye List ya Ma-handsome wangu.
CC: shem langu handsome watu8,NO SHOBO,tupa kule.
Kaka binamu handsome langu lingine Nicas Mtei, dah! Shoga angu charminglady anafaidi.
Wapi wifi wa Ukwenhe marejesho,mwanamke wa kujiamini,kamua kamua.
Wapi shostito wa kumoyo gfsonwin, wakuache miaka mia,
bila kumsahau The Only one boss Maxence Melo nakati ya JF.
Chachu Ombara na Ruttashobolwa sijawasahau,
wapi Makatibu wangu mwaJ na snowhite.
Wawaacheeee!!
 
Last edited by a moderator:
mafaili yamekuwa mengi aisee.... Naomba uje kunisaidia kuyapanga Madame B ... Nasikia wewe ulisomaga data management na mambo ya tanga univesiti.... Unafaa aise

Nafaa na mpaka kufikia hatua ya kumiliki waume 5 si mchezo,ujue nina viwangoooo tena vya mtoto wa Kike aliye kamili kila idaraaa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom