JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,035
Mie na wewe tupo double.....nipo single na Vin Diesel naye yupo singlewewe je?
Teh teh teh... 70% hapa CC Ni mabachela
Dah!
Sasa uoni kama nitawakwaza waume wenzio mpenzi?
Nina uwezo wa kuwatunza wote.....tulia
nipo single na Vin Diesel naye yupo single
wewe je?
Mie na wewe tupo double.....
Mimi nipo kwenye 30%
Nafasi umeipata aisee.... Karibu katika uongozi wa chama kubwaa kabisaaa la C.C.B
Poa, kama vipi tukaushe, tutajadili usiku bed.
mimi na Paloma tunataka tupewe uongozi kwenye kurugenzi ya mafunzo ya c.c.b. 😛oa: mia
Nipo double
figganigga umeona Vin Diesel alichokisema????