Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,835
- 37,445
See you soon... Mi nakufamyia booking mapemaa usije taabika ®C.C.B/556882 namba za mwisho mwisho
nilikuwa nakufuatilia nyendo zako.....ulishaanza kuharibu
Katibu wangu ndo wamwambia hivyooo?
Nipite tu mitaa hii.Iam happily commited/engaged to ..................
Haya hayanihusu..sosi Mwanamalundi
Acha ajichekee, mtoto mkali kuliko njaa. Hadi wanawake wenzie kina Mzungu Hunbig ana mzimia. Chezea wewe!!
Katibu wangu ndo wamwambia hivyooo?
Umeona ee?
Sema we Kiazi, Nikisema mie Muhogo nitaambiwa nina Mzizi.
Natisha kama njaa,
nateleza kama mlenda.
Ndio.
Katibu kwako,
Akifika mlangoni mume wangu.