Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,838
- 37,450
Handsomeboyz ni waume zangu Chimbuvu, Chilli na Arushaone JF nzima.
Watoto Black iliyotulia,Wana miili ya mazoezi washobokeao madada wa mjini na miili yetu ya Kujimwayamwaya kila tuingiapo.
Sio wewe Donn,weupe wa dukani hata Banana hawakujui.
Utacheza koote,mwisho wako Kiwalani.
Last edited by a moderator: