mimisa
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 2,511
- 1,441
afadhali!...na amani napata nw
Usimfikirie tena huyo tushamuweka lupango...
![]()
Usimfikirie tena huyo tushamuweka lupango...
![]()
Hodi huku c.c.b
Hiki ni chama kipya kabisa kinachopokea mabachela wote JF... Tukiwa na mitazamo tofauti na kile cha Baba V ... Huku ni burudani... Yaani stress free.... Watu kama charminglady , stevoh na C6 munakaribishwa. Na wale mabachela wa longtym kama noahism na figganigga munakaribishwa kujinyakulia kujitwaalia nafasi za uongozi wa chama cha raha a.k.a CHIT CHAT BACHELORS... Uandikishaji umeanza... Wahi sasa
Nalipenda jina lako tu........Usinisahau Chachu Ombara mutu ya congo kinshasa.
Nalipenda jina lako tu........
Iam bachelor available and ready to mingle.....! Nafaa kuwa administrator Nina masters.Hiki ni chama kipya kabisa kinachopokea mabachela wote JF... Tukiwa na mitazamo tofauti na kile cha Baba V ... Huku ni burudani... Yaani stress free.... Watu kama charminglady , stevoh na C6 munakaribishwa. Na wale mabachela wa longtym kama noahism na figganigga munakaribishwa kujinyakulia kujitwaalia nafasi za uongozi wa chama cha raha a.k.a CHIT CHAT BACHELORS... Uandikishaji umeanza... Wahi sasa