CHIT-CHAT BACHELORS (C.C.B) Jiandikishe mapema

CHIT-CHAT BACHELORS (C.C.B) Jiandikishe mapema

Hiki ni chama kipya kabisa kinachopokea mabachela wote JF... Tukiwa na mitazamo tofauti na kile cha Baba V ... Huku ni burudani... Yaani stress free.... Watu kama charminglady , stevoh na C6 munakaribishwa. Na wale mabachela wa longtym kama noahism na figganigga munakaribishwa kujinyakulia kujitwaalia nafasi za uongozi wa chama cha raha a.k.a CHIT CHAT BACHELORS... Uandikishaji umeanza... Wahi sasa


Hiyo ........ina maana na BACHELORETTE.
 
Chilli anatangazwa rasmi kuwa mtendaji mkuu wa chama cha C.C.B ®verified

Sanaaaaaaaaaaa! Thanx mwenyekiti na kamati nzima ya uchaguzi, nami nawaahidi kufanya kazi kwa moyo na roho yangu yote. So help me ....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom