Chezea wanawake wa mjini wewe!!!

Chezea wanawake wa mjini wewe!!!

Mwanamme wa kweli hajambi mbele ya mwanamke.

Inahusu nini?
 
559432_730483800310536_1033039678_n.jpg

CC:- Madame B, Mamndenyi, Kungwi, Paloma, watu8, Mtambuzi, Kaizer, Erickb52, Kipaji Halisi, AshaDii, gfsonwin, LiverpoolFC, MadameX, Lady doctor, lara 1, ladyfurahia.
Ujumbe huu unaletwa kwenu kwa hisani ya mwaJ na Mwita Maranya
Real you made my day ............................!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
hayo n maumbile tu ya mwanadamu na yameumbwa na huyo huyo tunaemwabudu

Katika mafundisho yetu kitendo cha kujamba mbele za watu au mtu ni "karaha" na haifai. Kitu chochote unachokifanya kutumia tupu zako kinapaswa kiwe ni faragha, iwe kujamba au kufanya vingine vyovyote kutumia tupu.

Na pia hatusali mpaka tuwe na udhu, na moja kati ya vitu ninavyotenguwa udhu ni kujamba.
 
duu haka ka ujumbe nilifowadiwa na msela wangu,cjui bujibuji kakaokotea wap!.
Huenda mie ndio msela wako mwenyewe, ila kiukweli mi nikiachaia uyusufu, halafu bibie akajidai ananipa pole na kuuliza kama nimeumia, hakika PATACHIMBIKA
 
Hahahaaa!

Wanaume yakinoga wanasemaje Bujibuji?
Hawaongei, wanafanya zaidi.
Nakumbuka kuna mama alikuwa akimwambia mumewe, "nakupenda sana"
kila siku anamwambia hivyo, lakini yule bwana akawa hajibu kitu.
Baada ya mieizi sita yule mama akachoka, akaacha kumwambia mumewe kuwa nakupenda.
Basi siku mume akamuuliza mkewe, mbona siku hizi huniambii nakupenda?
Mke akasema, hata nikikuambia ulikuwa huitikii.
Mumewe akamwambia, ona kipindi kile ulichokuwa unaniambia kuwa unanipenda nilinunua friji double doors, nilinunua kiwanja, nikarekebisha nyumba, nikakununulia gari....... AshaDii, kwa ufupi tu napenda nikujulishe kuwa wanaume wanafanya zaidi vitendo kuliko kuongea
 
Last edited by a moderator:

na hizo ndo sifa za mwanaume wa ukweli haongei sana i love you yeye vitendo tuuuuuu ha ha ha na vitendo bila mbesa havinogi bana
 
Dah,....sijui wanawake wakiongelea mwanaume mwenye pesa wanataka awe na pesa kiasi gani?
 
Hawaongei, wanafanya zaidi.
Nakumbuka kuna mama alikuwa akimwambia mumewe, "nakupenda sana"
kila siku anamwambia hivyo, lakini yule bwana akawa hajibu kitu.
Baada ya mieizi sita yule mama akachoka, akaacha kumwambia mumewe kuwa nakupenda.
Basi siku mume akamuuliza mkewe, mbona siku hizi huniambii nakupenda?
Mke akasema, hata nikikuambia ulikuwa huitikii.
Mumewe akamwambia, ona kipindi kile ulichokuwa unaniambia kuwa unanipenda nilinunua friji double doors, nilinunua kiwanja, nikarekebisha nyumba, nikakununulia gari....... AshaDii, kwa ufupi tu napenda nikujulishe kuwa wanaume wanafanya zaidi vitendo kuliko kuongea

Nimependa na ku benefit tokana na huu ufafanuzi. Asante Bujibuji... Pamoja Saana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom