Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,431
hahhahaha, unajambaje mbele ya mpenzi wako bana! lol
Haya ninong'oneze sasa.
Haya ninong'oneze sasa.
Dah! Kumbe ndio hivyo? Asante.(nimeshapata kale kamzigo, nikupeje?):rolleyez::rolleyez:
Real you made my day ............................!!!!!!!!!!!!!!!!!!![]()
CC:- Madame B, Mamndenyi, Kungwi, Paloma, watu8, Mtambuzi, Kaizer, Erickb52, Kipaji Halisi, AshaDii, gfsonwin, LiverpoolFC, MadameX, Lady doctor, lara 1, ladyfurahia.
Ujumbe huu unaletwa kwenu kwa hisani ya mwaJ na Mwita Maranya
Mwanamme wa kweli hajambi mbele ya mwanamke.
Inahusu nini?
mnajamba msikiti seuze mbele ya dem
Mradi hatusali tukishajamba inatosha. Jee wewe?
hayo n maumbile tu ya mwanadamu na yameumbwa na huyo huyo tunaemwabudu
dah wabongo kwa kuforward msg mhh!
Huenda mie ndio msela wako mwenyewe, ila kiukweli mi nikiachaia uyusufu, halafu bibie akajidai ananipa pole na kuuliza kama nimeumia, hakika PATACHIMBIKAduu haka ka ujumbe nilifowadiwa na msela wangu,cjui bujibuji kakaokotea wap!.
Hawaongei, wanafanya zaidi.
Hawaongei, wanafanya zaidi.
Nakumbuka kuna mama alikuwa akimwambia mumewe, "nakupenda sana"
kila siku anamwambia hivyo, lakini yule bwana akawa hajibu kitu.
Baada ya mieizi sita yule mama akachoka, akaacha kumwambia mumewe kuwa nakupenda.
Basi siku mume akamuuliza mkewe, mbona siku hizi huniambii nakupenda?
Mke akasema, hata nikikuambia ulikuwa huitikii.
Mumewe akamwambia, ona kipindi kile ulichokuwa unaniambia kuwa unanipenda nilinunua friji double doors, nilinunua kiwanja, nikarekebisha nyumba, nikakununulia gari....... AshaDii, kwa ufupi tu napenda nikujulishe kuwa wanaume wanafanya zaidi vitendo kuliko kuongea
Dah,....sijui wanawake wakiongelea mwanaume mwenye pesa wanataka awe na pesa kiasi gani?na hizo ndo sifa za mwanaume wa ukweli haongei sana i love you yeye vitendo tuuuuuu ha ha ha na vitendo bila mbesa havinogi bana